Mramba kulia harusi ya mwanae keko hall!!!!

Wakuu za saa hizi! Du leo nimechelewa kuja humu jamvini kweli. Jama tujuzeni yalojiri huko High Court. Vipi Mramba kapata dhamana? Ama ndo hivyo tena upande wa pili kakaa Mzee Msiba na upande ule kaka mtu ndo anamwakilisha Mzee wetu? Keki itapelekwa Keko nini?
 
Looks like no updates regarding the bail of this guys. Its Kili time now,,,, Thank God its weekend!
 
Wameachiwa kwa dhamana jamaa wapo huru sasa.Wametimiza masharti ya dhamana.
Harusi kesho kama kawa.
 
Kama Mramba na mwenzake Yona wangelikuwa katika jela ya Sweden basi wangeliruhusiwa kwenda nyumbani na kukutana na wake zao wakati wa jumamosi na jumapili. Wangelipewa nafasi hii kama wangelikuwa hawafanyi fujo na ni wafungwa watiifu. Kwa hivyo hiyo harusi ya mwanawe pia Mramba angelijumuuka.

Mnakumbuka ule mgomo wa wafungwa na mahabusi? Mahabusi kadhaa waliwekwa rumande miaka nenda na miaka rudi wala kesi zao zilikuwa hazishughulikiwi. Sasa hivi twona ajabu sana kwamba hii kesi ya Mramba na Yona inashughulikiwa mbio mbio, kuimbe ni hiyo harusi.

Nilipokuwa najibu katika Ippmedia.com niliandika ifuatavyo:-

"Ordinary Tanzanians can remain in remand prisons for months and even years before their cases are mentioned in the court or high court.
It is absurd to see that Basil Mramba and Daniel Yona case has swiftly come to the High Court within two days after appealing.
We should just conclude that in Tanzania “SOME ANIMALS ARE MORE EQUAL THAN OTHERS”
 
Wameachiwa kwa dhamana jamaa wapo huru sasa.Wametimiza masharti ya dhamana.
Harusi kesho kama kawa?????
TEEEEHHTEEEEEEEEEEEEEEHHH!!!!!!!!!!!!!!!!!!
KANISANI MKIMUONA KAPIGENI MAKOFI NA MKIFIKA UKUMBINI TUJULISHENI!!!!
HERO
MASHA!!!
 
Yes..wamepata mdhamana but psychologicaly they must be in a bad shape...harusi...?

Nina shaka kama wanaweza kuhudhuruia ...nitakuwa na hamu ya kujua wakihudhuruia watajidispose vipi!!!
 
Yes..wamepata mdhamana but psychologicaly they must be in a bad shape...harusi...?

Nina shaka kama wanaweza kuhudhuruia ...nitakuwa na hamu ya kujua wakihudhuruia watajidispose vipi!!!

Acheni kupotosha watu, jamaa inasemekana wameshindwa dhamana na wamerudisha Keko VIP jail
 
Mramba Ameikosa Harusi Ya Binti Yake

Yeye na mwenzake Yona wamerudishwa tena Keko. Hakimu amekubali kuwabadilishia masharti ya dhamana. Sasa wanatakiwa waweke dhamana ya mali isiyohamishika ya thamani sawa na dhamana waliyotakiwa kuweka ya shilingi takribani bilioni tatu kwa mtu. Habari Ndiyo Hiyo.

Source: mjengwa
 
Acheni kupotosha watu, jamaa inasemekana wameshindwa dhamana na wamerudisha Keko VIP jail

Ohh...I have no argument on that...!! If that is the case its not my faulty... ! Tuwawajibishe Redio clouds...I got it live there!!!!
 
jamaa kesho nje. Kama ni kweli basi kaamua kwa kususa kuwa kama kweli anashitakiwa, hataki hata hiyo dhamana ili wenye usongo wapate walichotaka. Na sio kweli amekosa dhhamana

MKUU PASCO UKIENDA BARABARA YA KUNDUCHI BEACH KUNA CLUB INAITWA HU TOLD YOU??
YOU GET MA MSG
 
--------------------------------------------------------------------------------

Quote:
Originally Posted by Azimio Jipya
Yes..wamepata mdhamana but psychologicaly they must be in a bad shape...harusi...?

Nina shaka kama wanaweza kuhudhuruia ...nitakuwa na hamu ya kujua wakihudhuruia watajidispose vipi!!!

Acheni kupotosha watu, jamaa inasemekana wameshindwa dhamana na wamerudisha Keko VIP jail

MKUU USIRIMBOO KATUMWA HUYU??????
 
mwacheni tu ajinome, alizidisha mno tamaa na kweli inabidi akione cha mtema kuni ili liwe fundisho kwa wengine. Sisi tunakazana kulima viazi ili kujiinua kiuchumi wenzetu wanauza viazi vyetu majuu na kuzitia senti zetu zote kwenye mifuko ya suti zaooooo....nomi kweli kweli...
 
Hata kama ni maigizo wafungwe tu maana tumechoka.
Wafungwa hupata nafasi ya kuingia ikulu kufanya usafi/kufyeka,si vibaya wakulu nao wakienda gerezeni hata kwa maigizo ilimradi nao wakasimulie kilichopo huko,kama vile wafungwa wakitoka ikulu kufyeka nao husimulia waliyoyaona.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom