Tuambie makusanyo yalikuwa vp? je kuna malalamiko yeyote ya ubadhirifu katika kipindi hicho? na naomba ueleze umma hiyo kanda ya kusini ilishika namba ngapi katika makusanyo ukilinganisha na kanda nyingine nchini? Kama kazi yake ni kufanya makusanyo, je makusanyo hufanywa ukiwa umekaa ofisini au ukizungukia wanachama? na wanachama wangapi wapya walijiunga na mfuko kipindi hicho katika kanda ya kusini? Na je kama alipewa posho, je posho yake ilizidi stahili yake? Naomba unijibu haya maswali na nitakuambia jinsi ya ubadhirifu unavyotendeka! Na pia ikumbukwe ni mimi niliyesema suala la ufisadi ndani ya LAPF (kwa vile najua linavyoenda)! na nitajibu hapa kukueleza syndicate ilivyo mle ndani maana unachanganya maharage na mchanga!
Acha hasira kaka unapoongelea kuhusu mtu, angalia na suala zima la victimization on a wrong cause/agenda siyo mashindano ila ni kama unavyomjua wewe ndo ninavyomjua mimi! Na ninachoona mimi hapa umeongea mambo lakini sijaona suala la muhimu! yaani lenye uzito wa ku-disregard her competency!Sikukusudia kuanzisha mashindano ya hoja lakini ukeli unabaki palepale kwamba ajinadi kwa atakachowafanyia watu wa Rombo na sio historia isiyo na mashiko.
soma hapa kaka http://madarakanyerere.blogspot.com/2010/02/notburga-maskini-to-challenge-basil.html na uelewe na muda muhafaka ukifika atajinadi zaidi na zaidi unakaribishwa kusikiliza sera zake! na kwa bahati nzuri/mbaya people judge an individual based on proven accomplishments and not on mere promises! Blame the human nature for that!Sikukusudia kuanzisha mashindano ya hoja lakini ukeli unabaki palepale kwamba ajinadi kwa atakachowafanyia watu wa Rombo na sio historia isiyo na mashiko.
Nimetoa sababu kwa nini hakugombea Sumbawanga (you bolden it)! Na sasa ameamua kugombea Rombo! muda ukifika atajinadi kwa sera! maslahi ya Rombo unayoyaongelea wewe hapa ni yapi? kuwakilishwa na fisadi sio (asiyekubalika na wabunge wenzake na chama chake)? Mimi naeleza jinsi navyomfahamu na najua ni mtu wa haki! Na namfahamu pia Mramba hata kuliko wewe unavyomjua naweza kumwaga na uozo wake mwingine with concrete evidences! Unapokuwa makazini si kila mtu atakuwa rafiki yako (hili ni la kawaida). Na kwa suala la huyu mama mara nyingi watu walio na bifu na huyu mama ni wale walikutana na rungu lake (kama unabisha taja jina la mtu aliyekutana na rungu lake na nitakuambia sababu)! Ni hicho tu nasema, na sikubali kum-victimize mtu! kuna mtu Kalikanye anasema ati alimsaidia kutoa gari! Jiulize unaweza kumsaidia mtu kutoa gari bandarini bila ya kuwa mfanyakazi huko? na kama ni mfanyakazi huko, je si wajibu wako kutekeleza majukumu? hapa inaelekea huyu mtu alitaka malipo in return, otherwise alichofanya ni kitu cha kawaida na hivi ndo nchi yetu hii inaporudi nyuma kwa vile badala ya kuongelea points na kutoa concrete evidences tunasema hajaolewa, ametoa prado mpya (ikiwa mbovu angesema pia), mkorofi lakini hatuangalii what is the source, bali tunakuwa pschology doctors humu ndani! naombeni evidences ya huo ukorofi na mnihakikishie kwamba ni ukorofi wake kweli with evidences yaani ndani ya misingi ya kupindisha sheria na taratibu! (hakufanya kazi yake inavyompasa, au aliiba hela, au alifukuza/alisimamisha mtu bila ya kosa! na nje ya utaratibu! yaani nje ya sheria za kazi) ama sivyo ni victimization game inaendelea humu ndani!
Kuwa na hekima ya kujua sikukujibu wewe pekee! na haikatazwi kuongelea mtu unayemfahamu for this case my former boss! maana kuna watu walitaka kumfahamu humu ndani! sasa kama hukufurahi na nilivyomuelezea pole mzee! maslahi ya Warombo yatakuwa genuine kama siasa za rushwa zitawekwa kando! yaani watu wenye kesi za kujibu wakae kando na pia kama watu wapya watapewa fursa ya kugombea na sio kupakwa matope kusiko na miguu wala kichwa! In short huo ndo msimamo wangu na-support wote wapya ukiacha Mramba mwenye kesi ya wizi wa $11 million!Mkuu,
Usiniingize kwenye mambo ambayo sijasema,hayo ya prado,bandarini sijui nini sijayasema mimi.
Mkuu,wewe kumbe unaongea kuhusu huyu mama kwa kuwa uko close na yeye?yaani kwa maslahi yako binafsi tu?Sasa mkuu ni hivi,Mimi najenga hoja kwa kuzingatia maslahi ya watu wa Rombo na si maslahi madogo kama ya kwako.
Ukifuatilia post zangu zoote huko nyuma nimeweka maslahi ya wananchi katika centre stage.Sio uje upotoshe umma hapa kwa sababu mgombea ni ndugu,rafiki ,jama,bosi wako nk huku maslahi ya wananchi yakiwekwa Rehani
Pia huo uozo unaoujua kuhusu Mramba,au mgombea mwingine yoyote ni haki yako kujua kama mpiga kura,jinsi ilivyo kwa wengine kujua na au kuanika uozo wa huyo mama.Tumeelewana mkuu?
Kuwa na hekima ya kujua sikukujibu wewe pekee! na haikatazwi kuongelea mtu unayemfahamu for this case my former boss! maana kuna watu walitaka kumfahamu humu ndani! sasa kama hukufurahi na nilivyomuelezea pole mzee! maslahi ya Warombo yatakuwa genuine kama siasa za rushwa zitawekwa kando! yaani watu wenye kesi za kujibu wakae kando na pia kama watu wapya watapewa fursa ya kugombea na sio kupakwa matope kusiko na miguu wala kichwa! In short huo ndo msimamo wangu na-support wote wapya ukiacha Mramba mwenye kesi ya wizi wa $11 million!
Umeshinda mzee, ila kuwa na subira jaribu kufikiria kama mimi na wewe tunatangaza azma ya kugombea, tutapata the same response from wabaya wetu (hata wakiwa wachache!). Na kuhusu sera za wagombea wapya subiri mzee, muda muafaka utafika na utawaskia! Ila nakushauri usiamini kila unachoambiwa PR is a wide term na inaweza tumika vibaya na kuharibu kazi! Otherwise siku njemaKulikua kuna haja gani ya kuni-quote na kujumuisha majibu hayo kwa wengine katika kunijibu?Nadhani ulikosa hekima hapo mzee
Vipi pia unaamnini maslahi ya warombo yataku genuine kukubali mgombea asiye na ajenda ya kuondoa kero za wannanchi,mgombea asiye na office intergrity,mgombea mbinafsi na asiye na PR nzuri na anaowaongoza?
Kama Mramba hafai,still unaamini mgombea anayefanana na Mramba kwa kila kitu isipokua jinsia anafaa?
Msimamo wangu,wagombea wote hao hawafai kwa ajili ya Rombo ila baadhi ya mawazo yao chanya yatahitajika kwa mbunge ataekuwepo.Hapo unasemaje mkuu!
Umeshinda mzee, ila kuwa na subira jaribu kufikiria kama mimi na wewe tunatangaza azma ya kugombea, tutapata the same response from wabaya wetu (hata wakiwa wachache!). Na kuhusu sera za wagombea wapya subiri mzee, muda muafaka utafika na utawaskia! Ila nakushauri usiamini kila unachoambiwa PR is a wide term na inaweza tumika vibaya na kuharibu kazi! Otherwise siku njema
Mkuu hebu acha watu waseme ukweli maana mimi naifuatilia hii thread kila siku hapa inaelekea kuna mchezo mchafu unatendeka haswa kumchafua huyu mama safari yake ya kuwania ubunge! Kuna mtu (Kalikanya) alisema huyu mama hawezi kuwa kiongozi kwa vile ni mkorofi na sababu hana mume/familia kama sikosei! halafu at the same time akasema alimsaidia kutoa gari sasa Geza Ulole akamuuliza kama alitaka malipo kalikanya akawa mkali! Sasa kama mtu amejiunga kutoa ushuuda mwache aongee! Wapiga kura wajue mchele na mawe!shobo
shobo has no status.
Junior Member
Join Date: Tue Mar 2010
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Re: Mramba: Another Challenge!
So,Mkuu umejiunga tu kwa ajili ya kuandiaka haya uliyoandika hayo hapo juu ama? Karibu jamvini na fuatilia huu mjadala kuanzia mwanzo ili uchangie kwa uelewa zaidi.Again,karibu sana hapa jamvini
Mkuu hebu acha watu waseme ukweli maana mimi naifuatilia hii thread kila siku hapa inaelekea kuna mchezo mchafu unatendeka haswa kumchafua huyu mama safari yake ya kuwania ubunge! Kuna mtu (Kalikanya) alisema huyu mama hawezi kuwa kiongozi kwa vile ni mkorofi na sababu hana mume/familia kama sikosei! halafu at the same time akasema alimsaidia kutoa gari sasa Geza Ulole akamuuliza kama alitaka malipo kalikanya akawa mkali! Sasa kama mtu amejiunga kutoa ushuuda mwache aongee! Wapiga kura wajue mchele na mawe!
Kaka si unaona amemjibu Kalikanye? inaelekea wanajuana hawa wote Geza, Shobo na Kalikanya inaelekea wako LAPF yaani ni wafanyakazi maana kuna mahali wanasema Kalikanya alipigwa ofisini kwa vile ya kutoka na mke wa mtu! waache wamwage mchele tutajua pumba na at last we make decisionsMkuu,
Sijamzuia huyu jama kuchangia,nimemshauri afuatilie mjadala ili tuwe na health debate.Si ndivyo JF inatakiwa kuwa?
Halafu kama Kalikanya=DHRA then ukae chonjo maana hata cheti huna yaani Masters yako ni fake hapa ofisini tunajua hilo! Umuache mama wa watu, mmemfukuza sasa anatafuta ustaarabu mwingine! Tunam-miss haswa utaratibu wake wa mafunzo kwa wafanyakazi maofisini kujiendeleza kielimu! wewe DHRA, DG na DFA endeleeni kuiba hela za mfuko haswa huyo bwana John Kida ndo kiongozi wenu wa kubadhirisha mahesabu!Kaka si unaona amemjibu Kalikanye? inaelekea wanajuana hawa wote Geza, Shobo na Kalikanya inaelekea wako LAPF yaani ni wafanyakazi maana kuna mahali wanasema Kalikanya alipigwa ofisini kwa vile ya kutoka na mke wa mtu! waache wamwage mchele tutajua pumba na at last we make decisions
Kaka si unaona amemjibu Kalikanye? inaelekea wanajuana hawa wote Geza, Shobo na Kalikanya inaelekea wako LAPF yaani ni wafanyakazi maana kuna mahali wanasema Kalikanya alipigwa ofisini kwa vile ya kutoka na mke wa mtu! waache wamwage mchele tutajua pumba na at last we make decisions
Tuko pamoja kaka,thanks!
Mimi ninamfahamu huyu mama kwakuwa nilifanya nae kazi Iringa wakati huo akiwa meneja wa kanda LAPF miaka ya 2005-2008.
Huyu mama ni MKOROFI KULIKO MNAVYOMFIKIRIA. Anazo hizo qualifications za utawala lakini kwenye masuala ya Relations na wafanyakazi wenzake huyu mama ni SIFURI. Hana lugha nzuri, mbabe, anakutumikisha anavyotaka na ole wako umchallenge! Alimfukuza kazi dereva wake alikua anaitwa Mwakingwe kwa sababu za kipuuzi, Mwakingwe akakata rufaa akashinda akahamishiwa Arusha. Hafai.....
Staff wake woooote walikuwa wanamwogopa kuliko wanavyomwogopa shetani....kwa kuwa HAKUWA na mahusiano mazuri na staff wake.
....Nafasi aliyonayo Mama Six yeye pia aliigombea 2005 akaangukia pua.
Ama kweli wabongo kichwa maji!..
nchi inaliwa mbele nyuma bado mnaweka matumaini ya kumtegema mtu fulani kuwa mbora zaidi ya mwingine..
Binafsi naamini kabisa kwamba hakuna mtu hata mmoja anayeingia bungeni kutafuta kubadilisha maisha ya mwananchi wake isipokuwa kupata nafasi ya kuvuta mishahara minono na ruzuku ambazo ni kivutio kikubwa kwao....wabunge waliopo na watakao kuja wote ni wezi watupu kwani huwezi kutumia mtaji wa zaidi ya millioni 300, fedha toka mfukoni mwako kujitangaza ati kwa ajili ya kuwatumikia wananchi..
Hivi sasa kila msikiaye anauza mali za urithi, mali za taifa hadi mchanga maadam wote wanajiandaa na uchaguzi... hii kweli inaingia akilini?. jamani hakuna mwema huko Dodoma wote chama moja - Madalali. Hawauzi kitu isipokuwa kwa kutegemea makato ya pato lao wenyewe..Ile 10% imefikia ilokuwa kwa viongozi wa juu sasa hivi imefika hadi serikali za mitaa, kwa hiyo hakuna biashara ya kanisa hapa. Kifupi hakuna afadhali, hawa wote wakipewa nafasi ya Mramba watayafanya madudu kama ya Mramba na pengine zaidi yake!
Nimesema hapa Bongo kila mtu ni strker, mpe nafasi atakufunga tu goli, hakuna cha sheria wala mjomba wake.. wanakula nchi kwa kwenda mbele kaa mchwa.