Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Kwani fedha za mamayake?
- Sasa wakuu wa Rombo tupeni muongozo, je Mramba kweli hafai huko jimboni? Na kati ya hawa vijana wanaotaka kusimama naye nani anatufaa JF ili tumpe tafu?
- Mkulu Yebo Yebo vipi unamfahamu huyu kijana tupe CV yake, au?
Respect.
FMEs!
Naona mkuu utakuwa umepata ulichotaka hii ni CV yake, from my personal opinion i think she was trained for public service! people need this kind of individuals
Notburga Maskini's curriculum vitae
Naona mkuu utakuwa umepata ulichotaka hii ni CV yake, from my personal opinion i think she was trained for public service! people need this kind of individuals
Huyu mama namfahamu kwa muda mrefu, lakini nilishindwa ku comment chochote. Nimeshawishika kuchangia baada ya kuona CV yake.
Hata hivyo licha ya kuwa na exposure kubwa lakini haijaweza kumsaidia kwenye Leadership kwa sababu hana uwezo wa kutenganisha masuala ya kazi na masuala binafsi.
Kwa jinsi ninavyomfahamu huyu mama, baada ya kuhamishwa kutoka Sumbawanga, alipelekwa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa ambako alikataliwa kiasi kwamba hakushusha hata mizigo yake kwenye gari baada ya kuambiwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Peter Siyovelwa kuwa safari yake bado inaendelea.
Ni kutokana na danadana hiyo, alipelekwa LAPF ambako kulikuwa na upungufu wa Staff katika managerial posts. Hata hiyo, licha ya kukaimu nafasi ya DHRA kwa muada wa miaka 4, lakini kwa kipindi chote hicho alikuwa ni kituko na Chaos katika Taasisi.
Kwani ilitegemewa kuwa kwa nafasi yake angeweza kuunganisha wafanyakazi na hivyo kuleta tija lakini ilikuwa kinyume chake. Watumishi hawakuwa na mani ya kufanya kazi kila siku kusutana na kutetana.
Tabia hiyo ilipelekea siku moja alimpiga kibega aliyekuwa Mwanasheria wa Mfuko wakati wakipishana kitendo ambacho kinadhihisha kuwa hana uwezo wa kutenganisha kazi na masuala binafsi kama vile ugomvi.
Ni kutokana na tabia hiyo, hata wakati wa mchakati wa mchakato wa kujaza nafasi ya DHRA, hakufikiriwa kutokana na output aliyodeliver kipindi alichokuwa akikaimu.
Strenth kubwa aliyonayo ni ya kumface mtu hata kwa matusi bila kujali huyo mtu ni nani.
Pia kwa tabia yake, alikuwa na mpaka sasa hachelei kumporomoshea mfanyakazi au mtu aliyemuudhi, matusi ya nguoni bila ya kujali iwapo kitendo kilichomuudhi ni cha kikazi.
Kwa ujumla wake ana matatizo ya Kisaikolojia ambayo yamemuathiri sana hali inayoathiri pia uwezo wake katika kazi. Anaweza kuwa ni mchapa kazi mzuri sana lakini katika nafasi za uongozi yataka mtu mwenye uvumilivu wa hali juu, sifa ambayo huyu mama hana.
Kwa mujibu wa wataalamu wa saikolojia ana tatizo la OVER COMFIDENCE na hii mara nyingi huwapata wanawake walioshindwa kuolewa katika muda mufaka au kutokuolewa kabisa maishani mwao kama alivyo yeye.
Nimelazimika kutoa ufafanuzi huu kwa lengo la kuweka uwanja sawa kwani simchukii na wala simfagilii. Lakini ninamfahamu sana na hata kwenye sakata la PRADO yake mpya nilimsaidia kumtolea bandarini.
umenena kaka tumsaidie! hapa kuna masuala ya gender segregation kama umesoma comments za watu! sisi watu wa Sumbawanga tunampenda na tunataka aje kugombea Sumbawanga, tulimuomba kipindi hiko akakataa kisa alikuwa anamweshimu Mh Kimiti!Huyu mama atakuwa ni kiongozi mzuri tu. Mara nyingi kiongozi wa kanuni na taratibu, na asiyekuwa fisadi hapendwi sana na wengi ambao ni mafisadi.
Kha kaka umelonga watu wanakalia kulilia mafisadi hapa hiyo barabara aliyoleta ni kodi zenu! na ilikuwa wajibu wake kama Mbunge amechemsha na aende nyumbani! Tuwe na ustaarabu huu la sivyo hii nchi haitaenda mbali we will pacify a tendency to honor corrupt people as long as they deliver to us no matter their integrity and ethics to the nation as a whole!🙁 huu ni ubinafsi wajameni!
Kaka umeulizwa maana unadai ameleta barabara yeye in favour of Rombo na sio wajibu wake kama mwakilishi! Maana naskia huyo Mh alishawahi kuwauliza Warombo, "ni mama gani aliyezaa Waziri zaidi ya wa kwake?". Sioni tusi kwenye hilo swali though lets talk on the main issues hapa!Mkuu Mshiiri,
Tuko pamoja kwenye mambo mengi lakini hapa umeenda mbali,umemtukana mama wa watu bure.Kama huyu jamaa ni fisadi basi ni tabia yake mkuu
Owise kwenye misimamo mingine kuhusu Mramba tuko pamoja ingawa wananchi wa Rombo ndiyo waamuzi
Notbruka sio mla rushwa na wala hajawahi kushushwa cheo ila alihamishiwa wizarani kwa kuwa anafahamiana na waziri mkuu? kwani LAPF ipo chini ya waziri mkuu? Naamini kuna ufisadi huko nakumbuka mwaka 2009 niliona TBC wakidodosa uwepo wa rushwa katika tenda ya ujenzi Afisa mwandamiza katika manunuzi aliacha kwa notisi ya masaa 24 pia mkurugenzi wa mipango aliacha kazi kwa notisi ya masaa 24 baada ya kuingia kwenye kashfa ya ufisadi. Na baada ya hapo nilishangaa kuona ameajiariwa Bandari kama mkurugenzi mkuu msaidizi wezi na mafisadi wa NSSF wamejazana LAPF japokuwa hawana uwezo na wengine wana vyeti vya kufoji pia wana ukabila uliokithiri pia ukiwa fisadi ndio sifa kubwa ya kupata ajira LAPF. Mkurugenzi mkuu alivuliwa madaraka ya ukurugenzi wa mipango NSSF kwa kosa la wizi na ufisadi katika tenda lakini cha ajabu kateuliwa kuwa mkurugenzi mkuu LAPF kazi kubwa anayoifanya ni kujenga mtandao wa kifisadi . hakuna ajabu mtumishi ngazi ya manejimenti kuondolewa LAPF kwa kuhofia maslahi yao....kwa hiyo naamini mtu kama huyu mama lazima apigwe vita kwa vile ni mtetezi wa wanyonge..
umenena kaka tumsaidie! hapa kuna masuala ya gender segregation kama umesoma comments za watu! sisi watu wa Sumbawanga tunampenda na tunataka aje kugombea Sumbawanga, tulimuomba kipindi hiko akakataa kisa alikuwa anamweshimu Mh Kimiti!
Mkuu hebu rudia kusoma post zangu kwa makini,angalia misimamo yangu kuhusu Mramba,barabara nk.rudia tena na tenaKaka umeulizwa maana unadai ameleta barabara yeye in favour of Rombo na sio wajibu wake kama mwakilishi! Maana naskia huyo Mh alishawahi kuwauliza Warombo, "ni mama gani aliyezaa Waziri zaidi ya wa kwake?". Sioni tusi kwenye hilo swali though lets talk on the main issues hapa!
Hata mimi namfahamu huyu mama pia (nimefanya nae kazi)! na nadiriki kusema haya!
Inavyoelekea wewe utakuwa Dr wa saikologia na personal dr wake nathani (kwa kudiriki kuhusisha kutoolewa kwake na utendaji wake wa kazi, kwa hivyo basi unaweza kumpa pia kumpa ushauri nasaha na kumsaidia baada ya kufanya hii hypothesis!).![/QUOTE]Kama wamfahamu vizuri naamini kuwa utatoa fair comment kama nilivyofanya mimi.
Nimetoa sababu kwa nini hakugombea Sumbawanga (you bolden it)! Na sasa ameamua kugombea Rombo! muda ukifika atajinadi kwa sera! maslahi ya Rombo unayoyaongelea wewe hapa ni yapi? kuwakilishwa na fisadi sio (asiyekubalika na wabunge wenzake na chama chake)? Mimi naeleza jinsi navyomfahamu na najua ni mtu wa haki! Na namfahamu pia Mramba hata kuliko wewe unavyomjua naweza kumwaga na uozo wake mwingine with concrete evidences! Unapokuwa makazini si kila mtu atakuwa rafiki yako (hili ni la kawaida). Na kwa suala la huyu mama mara nyingi watu walio na bifu na huyu mama ni wale walikutana na rungu lake (kama unabisha taja jina la mtu aliyekutana na rungu lake na nitakuambia sababu)! Ni hicho tu nasema, na sikubali kum-victimize mtu! kuna mtu Kalikanye anasema ati alimsaidia kutoa gari! Jiulize unaweza kumsaidia mtu kutoa gari bandarini bila ya kuwa mfanyakazi huko? na kama ni mfanyakazi huko, je si wajibu wako kutekeleza majukumu? hapa inaelekea huyu mtu alitaka malipo in return, otherwise alichofanya ni kitu cha kawaida na hivi ndo nchi yetu hii inaporudi nyuma kwa vile badala ya kuongelea points na kutoa concrete evidences tunasema hajaolewa, ametoa prado mpya (ikiwa mbovu angesema pia), mkorofi lakini hatuangalii what is the source, bali tunakuwa pschology doctors humu ndani! naombeni evidences ya huo ukorofi na mnihakikishie kwamba ni ukorofi wake kweli with evidences yaani ndani ya misingi ya kupindisha sheria na taratibu! (hakufanya kazi yake inavyompasa, au aliiba hela, au alifukuza/alisimamisha mtu bila ya kosa! na nje ya utaratibu! yaani nje ya sheria za kazi) ama sivyo ni victimization game inaendelea humu ndani!Huyo mama angekua na kitu cha maana kwa watu wa Sumbawanga si angegombea?
Haya haya ndiyo niliyopinga kule kwenye thread nyingine ya yule kijana wa Mtera vs Malecela
Mkuu,kuna mtua kaelezea anavyomjua huyu mama.wewe unamkejeli na na kushabikia umefanya nae kazi,je unamshabikia kwa maslahi yako binafsi au kwa lujali maslahi ya wananchi wa Rombo?
Yes! Ningemjudge hivyo kwa sababu a good leader anaanzia kwake binafsi, kwa familia yake na kisha jamii anayoiongoza. Mtu kama hawajawahi kuoa au kuolewa huwezi kuwa na ushahidi kuwa ana uwezo wa kuhandle mke au mme pamoja familia na kuiongoza vema.
Mke au mume kwa kawaida huwa ndio tension releaser kwa watu wote unless awe mke au mume mbaya. Kwa hiyo, kama mtu hajawahi kuoa au kuolewa hadi anafikia 40s, basi he/she might have missed something in life.
Suala la kuwa na familia au kutokuwa na familia sio tija kaka, ngoja nikupe mfano Zitto Kabwe hana mke na anatekeleza majukumu yake vizuri polls zinasema ni most effective MP!, ukiachilia mbali viongozi maarufu waliowahi pata tawala dunia hii kuanzia maraisi mpk wafalme! kwa hiyo siafiki ati huwezi tawala kwa vile huna mume au huna mke! Ukiangalia vizuri nchi nyingi za magharibi zimepata kuwa na viongozi wazuri pia ambao walikuwa single!
Nimelazimika kunakiri maelezo yangu hapo juu ili uone nilichomaanisha.
Na kuhusu suala la LAPF, unataka kutuambia ati hamna UFISADI mle ndani? unajua Mzee Bura kwa nini mkataba wake haukuongezwa? na unajua gharama halisi za Millenium Tower wewe? uliza Bwana Utouh yaani CAG report (ngoja niitafute nitaimwaga humu ndani uone nchi yako inavyoliwa na wajanja through hoax projects)!? Kwa taarifa yako pale LAPF kuna network ya wizi ikiongozwa na bwana mmoja anaitwa Kida ambae ni mtu wa Finance akishirikiana na DG! Juzijuzi hapa huo mfuko ulitaka ulipewa stop order na CAG kwa kutaka ku-carry a project the fund cannot afford (yaani mfuko uko njiani kufilisika na CAG) makusanyo yanafanywa hela zinapelekwa kwenye account za nje (nina evidence)! matokeo yake wanakuja na hoax projects ku-cover ubadhirifu na ndo maana kila kitu kinakuwa over-prized! Na kama unabisha mi nitamwaga mchele huu kwenye forum! Na suala la kuanza kusema ati alikuwa kwenye uongozi kwa hiyo ni zao la huo uozo (yaani suala la mpangaji aliyetoroka na mihela, nathani hujui bureaucracy makazini na si suala lake nathani ni suala la mtu wa Mipango na Projects)! humtendei haki huyu mama! kama angeamua kunyamaza kama wengine angekuwa anakula kuku mpaka leo! Kwa hiyo be fair to her ametolewa kule kwa sababu wezi wameona ni kizingiti na kwa vile uongozi wote ulikuwa against yeye kwa maslahi yao binafsi ndo maana wanamuona ni mkorofi na ana jazba (alisimamia sheria na utaratibu kulinda fedha za members wa mfuko)! Ila haya ni matokeo ya system na vithibitisho vipo juu ya ninachoongea hapa! jibu nikupe evidence! maana wana JF wana haki ya kujua mbichi na mbovu! Kwa kukuhabarisha Iron Ladies huwa wana msimamo na huwa wanapata vizingiti vingi sana kwenye utendaji wao!
Tuambie makusanyo yalikuwa vp? je kuna malalamiko yeyote ya ubadhirifu katika kipindi hicho? na naomba ueleze umma hiyo kanda ya kusini ilishika namba ngapi katika makusanyo ukilinganisha na kanda nyingine nchini? Kama kazi yake ni kufanya makusanyo, je makusanyo hufanywa ukiwa umekaa ofisini au ukizungukia wanachama? na wanachama wangapi wapya walijiunga na mfuko kipindi hicho katika kanda ya kusini? Na je kama alipewa posho, je posho yake ilizidi stahili yake? Naomba unijibu haya maswali na nitakuambia jinsi ya ubadhirifu unavyotendeka! Na pia ikumbukwe ni mimi niliyesema suala la ufisadi ndani ya LAPF (kwa vile najua linavyoenda)! na nitajibu hapa kukueleza syndicate ilivyo mle ndani maana unachanganya maharage na mchanga!Soma tena maelezo yangu. Lakini kama una ushahidi wewe umwage tu ni haki yako. Nilichomaanisha na nitakachoendelea kumaanisha hivyo, ni kwamba suala la mapambano dhidi ya ufisadi wa LAPF halikuwa ajenda ya huyo kwa kipindi chote chote alichokuwa LAPF. Kwa tunaomfahamu na kufanya nae kazi kwa muda wote, hakuwahi kuwa kinara wa mapambano dhidi ya ufisadi na ndio maana nikasema kuwa asibebe ajenda ya anachodai kuwa ni ufisadi wa LAPF kama mtaji wake wa kisiasa.
Kama kuna ufisadi LAPF, nasisitiza kuwa yeye ni sehemu yake na hata alipokuwa wa Kanda ya Kusini, alichokuwa akihangaika nacho ni namna ya kula hela. Kwa nafasi ya mtu kama Meneja mwenye Mshahara mkubwa, haiingii akilini kutokuwepo kwenye Kituo cha kazi hadi siku 21 kwa kisingizio cha kukusanya michango. Huo pia ni ufisadi dhidi ya fedha za wanachama.
Kusema ukweli namshauri tena asijinadi kuwa ni mwadilifu KWANI HANA NA WALA HAJAWAHI KUWA MWADILIFU tangu nilipoanza kumfahamu.