Samahani Yebo*2, Nadhani kama sikosei mwaka 1995 Mramba aliangushwa Rombo na Jamaa mmoja kutoka CHADEMA aitwaye Salakana ( sijui sasa hivi yuko wapi), baada ya hapo Che Nkapa akamteua Mramba kuwa RC Mbeya.
Naruhusu kurekebishwa kama kumbukumbu zangu hazijakaa vizuri
Asante

Masahihisho kidogo Mkuu.
Salakana alishinda kiti cha Ubunge kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 1990 na si mwaka 1995. Na alishika kiti hicho kwa term moja tu.[/ QUOTE]
Masahihisho kidogo tu... Mwaka 1990 hakukuwa na uchaguzi wa vyama vingi ilikuwa bado tupo kwenye ndio na hapana.
Hivyo ni sahihi kusema mgombea wa Chadema Bw Salakana alishinda kwa tiketi ya Chadema uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi 1995

Asante sana ndugu yangu Masatu. NImeghafilishwa na kumbukumbu za Bunge ambazo zinaonyesha kuwa Mramba alikuwa Mbunge tangu 1995. Nimekumbuka sasa kuwa aliteuliwa na Rais (Mbunge wa kuteuliwa) mwaka huo. Uko sahihi na wote waliotoa mwaka huo wako sahihi.
Nashukuru.
Samahani Yebo*2, Nadhani kama sikosei mwaka 1995 Mramba aliangushwa Rombo na Jamaa mmoja kutoka CHADEMA aitwaye Salakana ( sijui sasa hivi yuko wapi), baada ya hapo Che Nkapa akamteua Mramba kuwa RC Mbeya.
Naruhusu kurekebishwa kama kumbukumbu zangu hazijakaa vizuri
Asante
Ni kweli mwaka 1995 Mramba alibwagwa vibaya na Mgombea wa CHADEMA Bw.Alfred Justine Salakana.
Hata hivyo,hayo mapokezi ya huko Rombo itakua dili limechezwa na wananchi wakaingizwa mkenge tu.Hao mafisadi wanajiandalia mapokezi wenyewe kwa wenyewe halafu wananchi wanaingizwa mkenge.
Hata wafanye nini mwaka ujao Mramba harudi Bungeni
Tofauti kati ya Janet na Sophia ni kwamba Janet ana mume Mzee Kahama na Sophia ni msela tu hana mume kwahiyo kumpa uongozi wa aina yeyote hasa serikalini anakuwa ni security risk!!!.Anawezakupambana na njemba fulani ikamchanganya akauza siri za nchi!!
hakuna, because sehemu nyingine za watu wenye njaa na shida, mafisadi wananyongwa (revolutions are created etc)...hii ni simple case ya "miafrika ndivyo tulivyo..", Lowassa was greeted as a hero, so did Chenge..beyond any rational explanation
must be in the genes...
Mramba, Mgonja, Yona wote toka mkoa wa Kilimanjaro
Hii ni dalili tosha kwamba vita dhidi ya ufisadi haijawafikia wananchi wetu. Ebu imagine wakati wa vita vya wahujumu uchumi, eti mtuhumiwa anapokewa na wananchi?
Hawa viongozi waliofunguliwa mashitaka na serikali ilitakiwa wajiuzulu hata huo ubunge. Hii sio case ya madai, ni case ya wao kushitakiwa na serikali yao, kweli wanafaa kuendelea kuwepo bungeni?
Mwizi anapokewa kwa shangwe? Kweli sisi Miafrika ndivyo tulivyo, wajingaaa!!! labda sasa tunazidiwa na Waarabu tu, ndugu zao Wapalestina wanapigwa, wao wanafunga mipaka!
WHAT IS WRONG WITH US TANZANIANS?'
FMES said:- Mkuu Hauxtable ubarikiwe na hapa tupo ukurasa mmoja. I mean umesikia leo huko Chicago, yaani yule Governor wao bado hajawa indicted, lakini anatuhumiwa tu na kesi bado lakini tayari wamemu-impeach,
- Sisi kiongozi aliyetoka rumande na kesi bado inaendelea anapokewa na kushangiliwa na wananchi aliowaibia na kuna mpaka wakulu humu JF wanaodai kuwa eti ni sawa sawa!, wooi! mfumwa mrungu!
..nilichopinga mimi ni ile hali ya kuwabeza na kuwakejeli wananchi wa Rombo. unajua ulikwenda mbali mpaka kuukusanya mkoa mzima wa Kilimanjaro, na kuhoji elimu na uelewa wa wananchi wake.
..cha msingi hapa ni kuwa karibu na kuwaelimisha wananchi wa Rombo kuhusu ufisadi na athari zake. tena tunahitaji kuwa na subira na uvumilivu kwelikweli ukizingatia kwamba Mramba kama mbunge alikuwa karibu sana na wananchi wake.