Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

Naomba kujuzwa , hivi kwenye ranchi za serikali huwa wanauza ng'ombe kwa watu binafsi? Je, huwa ni utaratibu upi unapaswa kufuata ili uuziwe ng'ombe?
 
Kwa uzoefu wangu naamini ng'ombe mwenye kiwele kikubwa na chuchu kubwa nakuwa na asilia nyingi za kutoa maziwa mengi.
 
Thanx mkuu, nimepata madini adimu, kama hautojali weka namba ya simu utusaidie zaidi.
 
Habari za jioni wakuu poleni na mihangaiko ya kutwa.

Naomba tupeane uzoefu wa kina na source za ukweli wa upatikanaji wa mbegu bora ya ng'ombe hususani hapa Dar na mikoa ya jirani kikubwa kupata taarifa za kutosha ya mashamba makubwa au mashamba binafsi yenye mbegu Bora.

Ninafuga mifugo mbali mbali na kwenye ng'ombe nime weka nguvu kiwango cha maziwa kiko chini Sana walau nikipata jike wa Lita kumi na tano na kuendelea ntashukur vile vile de Bora la mbegu.

Kwa yoyote mwenye taarifa za kutosha ruksa ku share information.

Karibuni kwa mawazo wakuu
 
Mkuu skushauri utafute mbegu bora kama unavodhazani ila wewe ndio ubarishe njia za ufugaji wako namaanisha managemnet leo utaenda kununua mbegu bora yenye maziwa ya kutosha lkn mwsho wa siku atapunguza maziwa kama managemnt yako n sio nzuri kama alikotokea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzalishaji wa maziwa mengi unategemea na mambo mengi moja ya yake ni envronmental factor(mazingira) mfano ngombe wa kisasa aliye katika mazingira barid anauwezo wakuzalisha maziwa mengi kulko yule alie katika joto kwa sababu ya stress ya joto .kitulo ni sehem inayosemekan kua moja ya mazingira bora zaid hapa tanzania katika kufugia ngmbe n wengn kama kondoo na mbuzi hvo kam ataend kuchkua mbegu hakikishe mazngira anayofugia ni bora na utunzaji bora pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asant mkuu management iko vzr kuanzia chanjo had lishe niliye nae anatoa Lita tatu na nusuu sasa kutok tano natak kubadilisha
 
Asant mkuu management iko vzr kuanzia chanjo had lishe niliye nae anatoa Lita tatu na nusuu sasa kutok tano natak kubadilisha
Sawa mkuu sasa haya ni mambo yanaaffect uzalishaji wa maziwa kam ifuatavyo
1.upatikanaji wa chakula na maji.
2.umri na uzito.
3.magonjwa (mastitis inaathiri zaid uzalishaji wa maziwa).
4.hali ya hewa (temperature and humidity).
5.breed.
6 .dry period (ni vema kumpumzsha kukamuliwa ngmbe ndani ya siku 60 kabla y kuzaa ).
7.stress .
8.mimba .
9.milking frequency (unakua mara ngap kwa siku ).
10.milking interval (unakamua kila baada ya mda gani ndan ya siku).
Angalia then uliza swali tujue unakosea wapi najua katika hayo kuna sehem yaweza kua unakosea


Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu upo nkuulize kitu?
 
Hizo ni mbegu za ng'ombe wa nyama au wa maziwa?
Utaalamu wa kupandisha ng'ombe kwa chupa (AI) ni mdogo sana
Mi nafuga na lastly niliamua kununua dume
Hii option unaweza kuipinga sana theoretically lakini tulio na ng'ombe au shamba lenye majike kumi na zaidi nunua dume biashara imeisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…