Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
- Thread starter
- #21
nalifanyia kazi mkuuFanya hivyo utafanikiwa na vizuri zaidi ukajua wewe.
nalifanyia kazi mkuuFanya hivyo utafanikiwa na vizuri zaidi ukajua wewe.
asante mkuu, lakini nadhani kwasasa nitaanzia hapa tanzania kwakuwa bado kuna fursa nyingi kisha nitakapokuwa zaidi kibiashara ndipo nitatafuta masoko ya nje. kama ukishindwa ndani kwako unapopafahamu vizuri ni vigumu kwenda kufanikiwa nje ya nchi yako usipokujuanicheck kwa number hii +258866131115 whatsapp njoo mozambique tupige kazi.
Asante kwa mchango wako mkuu. Upo sahihi kabisa, ningeuliza kuhusu kufanya biashara ya uchuuzi kama kuchukua nguo China wachangiaji wengi wangekuja. Hii ni changamoto kwetu watanzania tujitahiji kubadilika, tuige wachina, producers ni wengi kuliko consumers
Una mtu hata mmoja unayemfahamu ambaye anafanya hii biashara kwakuwa kabla sijaanza nahitaji kutembelea watu wanaofanya biashara hii ili nijifunze meng kutoka kwao.
unazidi kunipa moyo sana mkuu, barikiwa. very soon ntaanzaUshauri wote waliotoa wadau ni mzuri sana,ufanyie kazi huwezi toka hivi hivi,kikubwa ni uthubutu tuu,kwa nn tushindwe sisi?kila kitu kitoke nje?lazima tukubali kuumia ili mwisho tuone matunda ya jitihada,big up sana wazo zuri mnoo
Yaani ulipozungumzia swala la veta umenipa wazo kubwa sana, maswali yangu yote nadhani hawa jamaa watanijibu kama watatoa ushirikiano wa kutosha
nitafute 2zungumze maana nimefanya hy kazi maaeneo ya gongo la mboto na hata hp tabata napafaham. 0659865639
Nakuombea ufanikiwe lazima tujikubali watanzania kwa nini tunabaki nyuma
nimesahau sijui ni kituo gani kile. ila pana maghorofa mengi wanaishi wafanyakazi. kuna mkuu hapo juu amesema anapajua.
mkuu ukifanikiwa kupata taarifa za kina tafadhari sana nijuze hata kwa pm.
Asante Bulldog , mawazo yako nimeyachukua kama yalivyo.1. Angalia au anza na kutafuta oda kwenye makampuni ambayo watakupa specifications za nin cha kuwatengenezea.
2. Nenda india katafute a complete set ya vifaa na utaalamu.
3. Tafuta vijana wenye atleast huo mwanga wa kutengeneza viatu na bidhaa za ngozi.
4. Maintain quality and standards. Bongo wanunuzi wapo ila hakikisha uchakachui ubora.
5. Fanya marketing ya uhakika.
Mkuu hivi hawa wanaonunua ngozi za ng'ombe ndo huwa wanawapelekea Arusha?