Mradi wa kushona viatu na kuuza

Mradi wa kushona viatu na kuuza

Ngozi hata huku Arusha zinanunuliwa halafu zinapelekwa Kenya tena tunaenda kununua ngozi Kenya ili tuzitumie, halafu tunalia shilingi ikiporomoka.

Yaani nchi nzima hatuna hata kiwanda kimoja cha kuprocess ngozi? ni aibu kwa kweli
 
Yaani nchi nzima hatuna hata kiwanda kimoja cha kuprocess ngozi? ni aibu kwa kweli

Yah, ndio serikali ya ccm ilipotufikisha miaka zaidi ya 50 ya uhuru hatuna kiwanda cha kusindika ngozi, na mawaziri wansema tunaweza juice tu.
 
Kama mnataka kujifunza kutengeneza viatu, mikanda na sandals kuna jamaa maeneo ya kawe mwisho kwenye soko wanatengeneza hivyo vitu . Wapo wengi tu maeneo hayo , naonaga wana cherehani tu kama mashine ya kushone vingine ni vitu vya kawaida. Angalau mnaweza pata mwanga
 
asante mkuu
 
Nina uzoefu ktk tasnia hii, nje ya Bongo. Nimekuwemo kwa miaka 17. Changamoto ni malighafi. Ili upate kiatu si ngozi pekee!! Kwa umuhimu sawia soli na lasti (plastiki umbo la kiatu). Machinery si tatizo sana kwani za msingi utapata hapahapa ila pressing machine,
 
Unaweza kuwasiliana 0789054690 kuona jinsi gani tunaweza kubadilishana uzoefu.
 
Wadau,

Nafikiria kuanzisha mradi wa kushona viatu, mikanda pamoja na wallet. Je ni mashine zipi za kuanzia ninazotakiwa kuanza nazo na gharama yake ni kiasi gani? ni aina gani ya Mashine inafaa au mambo yapi ya kuangalia kabla ya kununua mashine? Mafundi wazuri ambao wanaweza kushona vizuri ili kupanua soko zaidi.

Kwa yeyote mwenye uelewa wa huu mradi naomba mawazo yake.

Karibuni

mkuu ukifanikiwa usiache kuleta mrejesho maana mimi pia natega.
 
Back
Top Bottom