Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,138
- 159,048
Kumtongoza binti yangu ni boonge la tusi.
Kumtongoza binti yangu ni boonge la tusi.
Wewe kaka yako si unamuonaga malaika!
Mweeeeh!!
mbosso khanKaimba nani?
Styl yake ya uimbaji hainivutii hivyo siwezi kupenda wimbo wake wowote.mbosso khan
Ukipewa kadedication ka hivyo lazima ufe
Very TrueNa wavimbe na wanune
Ishakuwa yakooo
Huu wimbo ni mtamu kama jina lake
Ukishaona wanawake na watoto wamekubali kazi yako, basi jua umetoboa.
Hahahahaha mwenyewe hata sijui unavyoendelea ila ni mtamu sanaaaa
Kumbee na wanaume je?