Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,157
- 4,456
Habari!!
Nakadiria huu mgomo wa madaktari unaozidi kuongezeka kila kukicha na kuwa hatari sana kwa Watanzania wasio na hatia utapelekea maelfu ya Watanzania kufa kwa kukosa huduma itakayopelekea Watanzania woote kuingia barabarani kukushinikiza uondoke maana una dhalau kwasababu haiwezekani Rais wa nchi, ukakaa kimya bila kutoa tamko lolote ilihali watu wanakufa kwa kukosa huduma, ninaamini kuna watu watakuwa wamekwisha anza kufa ila takwimu hazitolewi.
Plz usisubiri watu waingie barabarani kwa hili, jikaze ndugu yangu toa tamko japo watu wanakusema vibaya kwamba katika hili hutaki uonekane mbaya kwa upande wowote.