Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
- Thread starter
- #61
Ukimya wake unapiga kelele!
Ulimwengu unamshangaa kutwa barabarani... sijui huyu mtu atajifunza lini? Kikwete Administration imeshindwa kazi na ijiuzulu haraka sana. Hivi huyu mtu ana huruma na Tz. ana huruma na Watanzania amekuwa mchoyo kupita maelezo. Kikwete watu wetu wanakufaaaaaaaaa husikiii????????????
Madaktari hawaheshimu professional ethics zao
awaite ikulu wakanywe juice na kupiga picha maana ndio shida yao