Mr. President, your response to doctors' strike is tepid!

Mr. President, your response to doctors' strike is tepid!

Habari!!

Nakadiria huu mgomo wa madaktari unaozidi kuongezeka kila kukicha na kuwa hatari sana kwa Watanzania wasio na hatia utapelekea maelfu ya Watanzania kufa kwa kukosa huduma itakayopelekea Watanzania woote kuingia barabarani kukushinikiza uondoke maana una dhalau kwasababu haiwezekani Rais wa nchi, ukakaa kimya bila kutoa tamko lolote ilihali watu wanakufa kwa kukosa huduma, ninaamini kuna watu watakuwa wamekwisha anza kufa ila takwimu hazitolewi.

Plz usisubiri watu waingie barabarani kwa hili, jikaze ndugu yangu toa tamko japo watu wanakusema vibaya kwamba katika hili hutaki uonekane mbaya kwa upande wowote.
 
392706_276925769034004_187249878001594_773609_996096816_n.jpg
 
mke wangu anakaribia kujifungua,sijui hayo mahospitali ya private,..(sijui aga khan,kairuki)kama nitayaweza...walipeni hao madokta jamani.
 
mke wangu anakaribia kujifungua,sijui hayo mahospitali ya private,..(sijui aga khan,kairuki)kama nitayaweza...walipeni hao madokta jamani.

Heri yako wewe unaweza ukajipanga nini cha kufanya hapo atakapojifungua mkeo, jifikirie mtu aliyepata ajali leo na anahitaji huduma ya Ma-specialists anakufa anajiona na kodi analipa kama kawaida
 
Inawezekana huu ukimya wa Rais ni kweli hataki aonekani yupo upande gani? kama ilivyofanyika kwenye posho za Wabunge na sheria ya katiba mpya???
 
Wanasiasa wanaahidi kila kitu..ni muda wa kuachana na 'matamko' na kuchukua ufanisi..why tuumie kwa kusubir promise ya raisi?

Habari!!

Nakadiria huu mgomo wa madaktari unaozidi kuongezeka kila kukicha na kuwa hatari sana kwa Watanzania wasio na hatia utapelekea maelfu ya Watanzania kufa kwa kukosa huduma itakayopelekea Watanzania woote kuingia barabarani kukushinikiza uondoke maana una dhalau kwasababu haiwezekani Rais wa nchi, ukakaa kimya bila kutoa tamko lolote ilihali watu wanakufa kwa kukosa huduma, ninaamini kuna watu watakuwa wamekwisha anza kufa ila takwimu hazitolewi.

Plz usisubiri watu waingie barabarani kwa hili, jikaze ndugu yangu toa tamko japo watu wanakusema vibaya kwamba katika hili hutaki uonekane mbaya kwa upande wowote.
 
Suala la mogomo wa madaktari linashughulikiwa na kamati ya bunge ya huduma za jamii, wewe unataka JK aongee kitu gani sasa
 
jk, kumbuka tunisia yalipoanzia! ,angalia mabadiliko ya mgomo kila kukicha hapa bado sehemu moja tu umeshikilia, wananchi wakiwaunga mkono madr tu ujue ndio mwisho wako, jitahidi utumie akili zako umalize balaa hili.
 
DO NOT drag Presidential powers over matters which the law has already assigned to other organs. Briefly, doctors’ strike is ILLEGAL. The strike has no support in law. Medical doctors should now see the importance of joining trade unions like TUCTA. I’m surprised that medical doctors do not know that there are procedures under Labour Laws for them to carry out strikes. Medical doctors are not late. They should go to the ESSENTIAL SERVICES COMMITTEE, COMMISSION FOR MEDIATION AND ARBITRATION instead of breaking the law.
Kwahiyo unawalazimisha na hawa jamaa waingie kwenye kundi letu la mbayuwayu. Bilashaka na wewe ni mwanaAPOLO mwenye permanent visa ya India.
 
MM,respect to you.I respect ur ideas but I dont think if ur closely following this issue.Govt Leaders have done a lot to meet doctors and listen their demands but they appear to ignore.u as an intellectual u should be critical enough to know the effort done by both sides of the this mgomo ie govt as the mdaiwa and doctors as mdai.U seem to blem one side with out clear ellaboration as to how and what has been done by mdaiwa so far to end this dying conflict.NAKUOMBA USOME HOTUBA NZIMA YA WAZIRI MKUU BAADA YA MA DR KUMKIMBIA.TANZANIA KWANZA.......................
Hotuba nzuri zilishatusaidiaga nini? Kwa taarifa yako Waziri Mkuu ni mmojawapo wawaliochangia kulikuza tatizo Hili. Alikuwa na nafasi kubwa ya kumaliza tatizo ila either alishauriwa vibaya na kutopewa taarifa sahihi, aliagizwa vibaya amalisa alilichukulia kisiasa. Tulichomnukuu ni vitisho vyake (madaktari warejee mahospitalini, otherwise wamejifukuzisha kazi), Kupeleka madaktari wa kijeshi huku akijua madaktari wore kwa ujumla wao hawatoshi hata theluthi, na mbaya zaidi kutuletea hadithi ya kuwa Dr. Ulimboka si daktari. Kikubwa walitaka wananchi tuamini madaktari ndiyo wabaya kwa kutoyazungumzia matatizo ya msingi, kumbe afya ya binadamu haiitaji propaganda wala mwongozo wa mh. Spika. Hatua za haraka na uwajibikaji zinahitajika.
 
mke wangu anakaribia kujifungua,sijui hayo mahospitali ya private,..(sijui aga khan,kairuki)kama nitayaweza...walipeni hao madokta jamani.

mwisho naona tutategemea wakunga wa jadi ku okoa jahazi. Uongozi 'umeganda'
 
Alisema atatafuta muda wa kuongelea swala la Madaktari ,,,jamaa hayuko serious hata kidogo, muda wa kuzunguka anao ila muda wa kukaa na kutafuta ufumbuzi wa matatazi hana
 
Alisema atatafuta muda wa kuongelea swala la Madaktari ,,,jamaa hayuko serious hata kidogo, muda wa kuzunguka anao ila muda wa kukaa na kutafuta ufumbuzi wa matatazi hana



Sio kulifanyia kazi ila kuliongelea!!! Seriously?
 
tangu mwanzo kikwete amwkuwa mtu wa kusingizia wengine!!! taifa likiingia kwenye mgogolo yeyey huwa anadai ''mimi sikuwepo'' ndio kauli yake hiyo......kwa kifupi mimi sioni na wala hana leadership qualities zozote!!! sitegemia lolote jipya toka wa huyu

Kwa hiyo ndg Edson una maanisha kwamba jamaa huwa anakwepa sana collective responsibility? Kimsingi inatakiwa baba awajibike kwa matatizo yanayoikumba familia yake, hata kama matatizo hayo hakuyasababisha yeye binafsi. Huko ndio kuwajibika. JK hana hiyo sense of responsibility.
 
Rais Kikwete


Mr. President,
once again your nation is waiting to see your leadership. Our people are longing to see you lead. DO NOT LET THEM DOWN.

MM-BGM

I don't blame Kikwete, I blame Tanzanians for letting this happen!! I hope 2015 tutakuwa serious this time!

 
Sometimes its hard and we agree lets the wind swing our direction,hakika nasumbuka kujua mambo mengi kuwa Rais wa Nchi mpaka kuchagua waziri mkuu na baraza la mawaziri na watendaji wenginne wakuu,kama wakuu wa majeshi,makatibu na wakurugenzi je nani anamwaminsha kuwa wafuasi wake hawa wataendana nae utendaji wenye ufanisi na tija kwa Taifa.Nje ya Rais Taifa lian kitu gani au linawatu gani wanaolinda Taifa na sio chama kwa faida ya Watanzania.

Manake ninachokiona hapa waraka huu kwa Rais ni mzuri,lakini naludi nyuma najiuliza kisomi na kwa mantiki [Logical] waziri mkuu ni nani katika shughuri za Serikali yetu ya URT.

Kama waziri mkuu wetu ndie mtendaji wa mkuu wa shughuri za Serikali basi MMK basi ujumbe wako huu ungekwenda kwa Waziri mkuu ambae kikatiba inaonyesha kuwa waziri mkuu ndiye kinala wa shughuri zote za Serikali lakini kiutendaji halisi maamuzi yote yanatakiwa kutolewa na Rais kama ambavyo tumekuwa tukiona toka ujio wa Pinda kwa tofauti ya Lowasa ambae alikuwa analipuka japo alitenda.

Basi ni vyema hukumu ikailekezwa kikatiba japo reality sivyo [Zingatia kesi ya Jairo wakati waziri mkuu bungeni Dodoma anatamka kuwa anamsubili Rais atue ampe taarifa ili amue hatima ya tatizo la Jairo,huku anasema angekuwa yeye..........imemuuma sana angeamua vinginevyo,kisha zingatia nafasi ya waziri mkuu wetu huyo ya kikatiba kisha pima na matamshi yake hayao utaona kuna mambo ya msingi, nayo ni kuwa kikatiba ndiye aliepaswa kutoa uamuzi, lakini kwa upande wa pili usio wa kikatiba jukumu hilo analikabidhi kawa Rais, kwa kusema nasubili Rais atue]

Hivyo kumbe ujio wa Waziri Mkuu Pinda kiutendaji kumetengeneza dalaja au kivuko cha kabla ya yeye kuamua kwa niaba ya Taifa usubilia kwanza Rais aje akae ofisini kwake kisha apitie mafairi ya kutoka ofisi ya Waziri Mkuu kuaprove nini kifanyike.Na sio Waziri Mkuu kumpelekea Rais Taarifa ya repoti ya maamuzi na yaliyojili baada ya yeye kuamua kwa niaba ya Rais na Wananchi wa Tanzania.

Hakika competence ya maamuzi ya kiongozi yoyote yule ndio hukumu yake kwa kuwa kiongozi ni kuongoaza njia na si kiongozi ni mamlaka na maanjumati yanayoambatana na madaraka husika kama maisha mazuri,kunyeynyekewa na jamii, pesheni na privellege zote za utukufu wa kuwa kiongozi.

Tufike sehemu tuwahaukumu viongozi wote kila mmoja kwa performance appraisal [Evaluation] hasa kwenye vipindi kama hivi na kama hafai wananchi wanashinikiza atolewe na ikishindikana tunawafuata style ya madkatari.Inaniuma sana kuona picha za ITV jinsi mamia ya Watanzania wanavyopoteza maisha yao,Mungu awarehemu lakini watakuwa kumbukumbu muhimu na kila tukiwakumbuka tutaheshimu taaruma muhimu kama Madaktari na Walimu na sio kusikiakwa vitisho vya Serikali.Serikali yetu baadhi ya mawaziri walitaka kuiga stykle ya Kijana wa Mwinyi chini utawala wa Mzee wa Mnawivu wa Kijanga kuwa kila siku watawabuluza Madaktari chini ya kiburi cha style ya Serikali ya kibabe na si Serikali ya Kiungwana.Wamekuatana na vijana wa kizazi kipya wenye kujua kuwa wanaenda wapi na kwa njaia hiyo hata wazee waliotishwa huko nyuma nao wameiga wakafuata haki iko wapi.
 
This was my plea in January as the country was heading into a prolonged strike:

Mr. President,
At the end of the day this ultimately is your choice how to end the strike; you can force the doctors to go back to work by using security apparatus of the state; you can jail some of them and indeed you can even import substitute doctors from wherever you find them. The facts on the ground will remain the same – our healthcare system is broken, unsustainable and needs extensive and comprehensive reform.

Yes sir, you can ignore the problem, you can belittle the doctors and indeed you can even dismiss all doctors. Indeed, you can force them to come back to work and they might come back to work but the damage to the reputation of your leadership has been done (some might say once again). I beseech you to consider taking a prompt intervention by talking with the doctors – not talking to the doctors! Only negotiations as I said should bring to a halt this strike. Without negotiations which end with a comprehensive deal our nation should prepare itself for a longer strike or another strike in the near future.

Mr. President,
once again your nation is waiting to see your leadership. Our people are longing to see you lead. DO NOT LET THEM DOWN.

Over a month later the president finally decided to sit down with the doctors? Really? Wasn't this that obvious from the beginning that it was only the presidential intervention that could bring the strike to an end? I fall short of words to describe my sentiments kwa kweli.
 
Back
Top Bottom