Mr Nice guys are not husband material

Mr Nice guys are not husband material

Status
Not open for further replies.
udhaifu mkubwa wa mr nice guys ni kushindwa kutwist emotions za wanawake..i agree...sababu hawako EXPERIENCED, THEY ARE NOT WORTH ANYTHING...
Kua Mr nice guy au bad boy naona mara nyingi hua ni swala la muonekano na sio character, wanaume wengi wanaoitwa nice guys ni wanaume wenye sura mbaya wasioweza kupata wanawake kirahisi, wanawake wengi wanawakataa,

Bad boys ni wanaume wenye sura nzuri, wanapata wanawake kirahisi Anita Makirita
 
Wanawake hamjui mnataka nini izo zingine ni blah blah. Kama hauwezani na nice guys mbona simple kabisa. Wewe jiweke kwa bad boys then waache nice guys na maisha yao, sio kumtaka nice guy aende sambasamba na delusions zako za kishetani.

Kwamba nice guy alieamua kuheshimu mwili wake na heshima yake unataka awe mtombaji holela ili tu apate validation yako. Kwamba nice guy anaeamini katika diplomasia unataka awe dikteta. Wema ndio character yake ndivyo alivyo kama hauwezi nenda kwa badboys
Hizi terms kama nice guy, bad boy, alpha male, beta male mara nyingi hazihusiani na character, zinahusiana na muonekano wa mwanaume

Nice guys in general wengi hawana sura nzuri ndo maana wanakataliwa sana, bad boys wana sura nzuri ndo maana wadada wanawapenda,

Beta males hawana sura nzuri, alpha males Wana sura nzuri ndo maana wanawake wanawapenda..
Natafuta Ajira
 
Now money runs the game doesn't matter ur out look., Face , character or personality.
 
Sex ingekuwa ndiyo foundation ya ndoa, basi wanawake au wanaume ''wanaujua'' ku-sex ndoa zisingevunjika. Tatizo wengi mnadhani sex ni kile kitendo mnafanya kitandani tu. Sex ina mambo mengi mno, kuanzia mnavyoishi, mnavyoheshimiana, uaminifu etc...
Anasema husband material ni sex

Then MTU akisema nice guy anakuwa anamanisha MTU ambaye yupo yupo anaendeshwa nafikiri wanatafsiri hivi.

Ila kwa uelewa wangu Nice guy ni MTU positive hapendi negativity .

I don't think sex inaweza kumtambulisha MTU Kama nice guy or whatever .

Wanawake wakiswahili most of them ni sex driven , they have nothing to offer in relationship.

Wakikutana na Mwanaume ambaye a-entertain sex ndo pale wanatunga majina yote.

Kwakuwa they think that they can can having all they want kupitia sex that's none true
 
Uko sahihi mkuu. Mwanamke wa kiswahili tangu utotoni nakuwa amefundishwa kuwa uke wake + uzuri ndiyo kila kitu na kupata au kukosa inategemea anavyoutumia.
 
Anasema husband material ni sex

Then MTU akisema nice guy anakuwa anamanisha MTU ambaye yupo yupo anaendeshwa nafikiri wanatafsiri hivi.

Ila kwa uelewa wangu Nice guy ni MTU positive hapendi negativity .

I don't think sex inaweza kumtambulisha MTU Kama nice guy or whatever .

Wanawake wakiswahili most of them ni sex driven , they have nothing to offer in relationship.

Wakikutana na Mwanaume ambaye a-entertain sex ndo pale wanatunga majina yote.

Kwakuwa they think that they can can having all they want kupitia sex that's none true
plus wanawake wa kingoni na kitanga
 
Na bado!

Utahangaika wee lakini hapa lazima urudi. Mwenyewe unajua hivyo. Neng'eneka tuu
Anaangaika tu huyo .

Shida ya wanawake umri unavyozidi kwenda ufahamu wake wa kuwa logical unaondoka au kupungua.

Nilitegemea azungumzie sifa za Nice guy na azungumzie sifa za husband material.

Mfano sifa za husband material ni Kama

Being a responsible father
Being a protector and bread winner
Being smartest in making decision
A leader and visionary .

Ikiwa MTU Ana hizo sifa , akawa ameshindwa kutimiza Sex fantasy za mwanamke ambaye she is used to be a prostitute, or the woman who is still living in past damage .

Ndo maana katika Imani zote ni vizuri kuoa a Virgin woman , kwakuwa hatokuwa na lusting thoughts most of the time.

Hao bad guys or nice guys ni wanaume wa kufikirika ambao hawapo in reality because human being is not static people do change

So MTU akikaa akaona amekosa MTU wa kumtimizia sex fantasy zake anaamua kutengeneza imagination solution Kuwaita watu kuwa this guy is nice guy , and he can't meet my sex desire.

Is mind game
 
Mzuka JF?

Wengi wa mr Nice Guys wanakuwa wamelelewa zaidi na mama/wanawake baba anaweza awe hayupo ama yupo lakini yupo literally ABSENT ....unakuta wanakuwa hawako balanced wanakuwa na attachment na mama zaidi....yeye kila kitu ni mama, mama ndio ana decide pesa yake inatumika vipi na mama ndio kimbilio lake akiwa na chochote kinachomsibu, including misunderstanding kati yake na partner wake.....siku zote kama mke utajihisi powerless na hutokuwa na maamuzi na ndoa yako.....

La muhimu zaidi nililotaka kuzungumzia ni SEX, usiolewe na mr nice guy hawajui kusex, si ajabu kumkuta yule mvaa vitenge ni bikira ama unakuta senior bachelor ashawahi kuwa na girlfriend mmoja tu au bikira hana experience. Sasa wewe jichanganye uolewe nae, hujui kutopata good sex ndio mwanzo wa moods swing, irritability na Cheating?????? asikwambie mtu foundation ya any relationship ni sex. Sasa usipopata good sex utanuna, utakuwa mgomvi utacreate unhappy home, na lenyewe halitaelewa litakukwepa na kupeleka attention kama sio kwa mamake basi kwa mchepuko!

Tumeambiwa sisi wanawake tukishafanya umalaya tunatafuta mr nice guys tunatulia nao kwa ndoa, sijui ni uongo sijui ni ukweli.,....ila kama divorce rate iko juu na wanaoolewa sio mabikira....tunaweza ku derive kwenye one conclusion; hatuolewi na Mr Nice guys kama wengi wanavyodhani, ni makurumbembe tunaolewa nayo otherwise yangetulia ndoani.
Jamaa muongo kweli wewe, haya mawazo angeyatoa KE ningemuelewa, sasa sijui wewe umewezaje kuact kama wao
 
Ndo yoyote ile ambayo malengo yao makuu ni kufanya sex haiwezi kudumu.
Kuna kitu kinaitwa marginal utility (kwa kadiri unavyotumia kitu fulani sana ndivyo unakizoea na ukinaifu unatokea na kukiona cha kawaida tu kama vitu vingine)
Tambua ya kwamba tendo la ndoa kwa partiners linazoeleka ndo maana wengi waliotia nia saaaana kwenye hili huwatulii hata kidogo.
Jambo jingine hatuoani ili kuoneshana show kali hadi vitanda vipasuke, Laa hasha, kuna mambo ya msingi pia kama Uchumi, malezi ya watoto, na mambo ya kiroho pia.
Tambua ya kwamba akili ikiegemea kwenye tendo ili ndoa iwe na furaha maana nyingine unaukarbisha uzinzi na uasherati kwenye maisha yako, Fikiria mwenzio amesafiri mwezi mzima, Je utafumilia na wakati unataka SAMBALIOKA kila siku?

Change your mind, it will help you to change your thinking
Nawasilisha mwenyekiti
 
Foundation ya any marriage ni sex, usidanganywe na mtu yeyote....usipomfikisha mkeo utacreate unhappy home...I agree sex isn't the only thing kwenye ndoa lakini ni important pia sielewi kwa nini mnaidismiss wakati is enough kuvunja ndoa....infact the only major reason ya kuvunjika ndoa ni sex....
 
Mzuka JF?

Wengi wa mr Nice Guys wanakuwa wamelelewa zaidi na mama/wanawake baba anaweza awe hayupo ama yupo lakini yupo literally ABSENT ....unakuta wanakuwa hawako balanced wanakuwa na attachment na mama zaidi....yeye kila kitu ni mama, mama ndio ana decide pesa yake inatumika vipi na mama ndio kimbilio lake akiwa na chochote kinachomsibu, including misunderstanding kati yake na partner wake.....siku zote kama mke utajihisi powerless na hutokuwa na maamuzi na ndoa yako.....

La muhimu zaidi nililotaka kuzungumzia ni SEX, usiolewe na mr nice guy hawajui kusex, si ajabu kumkuta yule mvaa vitenge ni bikira ama unakuta senior bachelor ashawahi kuwa na girlfriend mmoja tu au bikira hana experience. Sasa wewe jichanganye uolewe nae, hujui kutopata good sex ndio mwanzo wa moods swing, irritability na Cheating?????? asikwambie mtu foundation ya any relationship ni sex. Sasa usipopata good sex utanuna, utakuwa mgomvi utacreate unhappy home, na lenyewe halitaelewa litakukwepa na kupeleka attention kama sio kwa mamake basi kwa mchepuko!

Tumeambiwa sisi wanawake tukishafanya umalaya tunatafuta mr nice guys tunatulia nao kwa ndoa, sijui ni uongo sijui ni ukweli.,....ila kama divorce rate iko juu na wanaoolewa sio mabikira....tunaweza ku derive kwenye one conclusion; hatuolewi na Mr Nice guys kama wengi wanavyodhani, ni makurumbembe tunaolewa nayo otherwise yangetulia ndoani.
Mwisho wa haya yote ni kulishika kwenye usingo Maza na mwisho kumalizia kuwa na mwanaharakati
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom