Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,409
- 2,254
- Thread starter
- #41
Kwani ukisema mimi ni mwanaume wakati ni mwanamke, nakosa nini?Mwandiko wa kiume huu.
Kwani ukisema mimi ni mwanaume wakati ni mwanamke, nakosa nini?Mwandiko wa kiume huu.
Wanawake hamjui mnataka nini izo zingine ni blah blah. Kama hauwezani na nice guys mbona simple kabisa. Wewe jiweke kwa bad boys then waache nice guys na maisha yao, sio kumtaka nice guy aende sambasamba na delusions zako za kishetani.hahahahah wewe ndio uko delusional kweli, sikushangai uko kimachale sana kwenye ndoa yako, ni mmojawapo wanaoamini mwanamke yupo to take only, wala huamini mwanamke anaweza kuwa committed na relationship bila kutaka chochote....in that case we wont agree on anything!....Kwa hio unaamini wanaoolewa leo wote wanataka mgao kwenye ndoa zao...ni sawa na kusema kila mwanamke (80%as you put it ) ya wanaoolewa leo wana ulterior motive ya kupata mgao.....very delusional......
Hamna ubaya wowote wa mama kuwa karibu na kijana wake....well, it takes two to raise a kid...jaribu kuwa absent kwenye maisha ya kijana wako...uone atakavyo turn out....do this as experiment,majibu baki nayo....
Performance mbovu kitandani ni lazima kuwa na comparison???? wewe ukiscore Maths below 30 utajiona mshindi hata kama ni wa kwanza darasani???? well kama hujui kumkuna mkeo ni hujui tu sio lazima awe na comparison, wewe ndio unadanganya watu waoe bikira sababu hamna comparison...unachoshindwa kuelewa hayo mambo hayahitaji comparison; unajua unajua hujui hujui....worse kama humkuni atanuna, atakuwa mgomvi na kuna chances atacheat...kwa nini tuandikie mate, jaribu kwa huyo bikira wako ulete majibu...
udhaifu mkubwa wa mr nice guys ni kushindwa kutwist emotions za wanawake..i agree...sababu hawako EXPERIENCED, THEY ARE NOT WORTH ANYTHING...
Sababu alizotoa siyo za msingi. Kuegemea kwa mama na good sex.kama hakuna good sex na hela ipo hamna tatizo
Mbona faster mkuu na wewe ni mista naisi gayiMpewe udongo tu sasa muumbe mwanaume mnaemtaka!.
Basi nikasikia mtu kaita wimbo wake thousand reasons, nikajia ni kweli unaweza imba zote ndani ya wimbo wa dk3-10?Hundred reasons to fear women.
NJEMBAbrazaa wako nani, huna hata haya kutaka kuonekana wa kiume...
Nipo sahihi or not siko hapa kupata validation yako...you can keep your nonsense to your bloody self....nimemention mr nice guys walivyo, kwa percepgtion yangu...kama una agree sawa kama huagree pia sawa...Mr nice guy hajui kuto**mba hutaki hupendi au??? sex inakuja na experience hutaki hupendi au?Wanawake hamjui mnataka nini izo zingine ni blah blah. Kama hauwezani na nice guys mbona simple kabisa. Wewe jiweke kwa bad boys then waache nice guys na maisha yao, sio kumtaka nice guy aende sambasamba na delusions zako za kishetani.
Kwamba nice guy alieamua kuheshimu mwili wake na heshima yake unataka awe mtombaji holela ili tu apate validation yako. Kwamba nice guy anaeamini katika diplomasia unataka awe dikteta. Halafu kwa ujasiri kabisa unajiona wewe ndio upo sahihi
unaoa ili iweje kama sio sex?????Sababu alizotoa siyo za msingi. Kuegemea kwa mama na good sex.
Nice guy sio huyo unaye mzungumzia ww. Nice wanajali kupitiliza,sio malaya,waaminifu na watu wakumjua Mungu sana,hawanaga makashi kashi. Nice guy kinacho wafanya wanawake wawaone hawafai kitandani.Mfano mchezaji wa Kibrazil Ricardo Kaka ,mke wake alimwacha sababu anadai Ricard ni too nice yy amezoea makashikashi.Mzuka JF?
Wengi wa mr Nice Guys wanakuwa wamelelewa zaidi na mama/wanawake baba anaweza awe hayupo ama yupo lakini yupo literally ABSENT ....unakuta wanakuwa hawako balanced wanakuwa na attachment na mama zaidi....yeye kila kitu ni mama, mama ndio ana decide pesa yake inatumika vipi na mama ndio kimbilio lake akiwa na chochote kinachomsibu, including misunderstanding kati yake na partner wake.....siku zote kama mke utajihisi powerless na hutokuwa na maamuzi na ndoa yako.....
La muhimu zaidi nililotaka kuzungumzia ni SEX, usiolewe na mr nice guy hawajui kusex, si ajabu kumkuta yule mvaa vitenge ni bikira ama unakuta senior bachelor ashawahi kuwa na girlfriend mmoja tu au bikira hana experience. Sasa wewe jichanganye uolewe nae, hujui kutopata good sex ndio mwanzo wa moods swing, irritability na Cheating?????? asikwambie mtu foundation ya any relationship ni sex. Sasa usipopata good sex utanuna, utakuwa mgomvi utacreate unhappy home, na lenyewe halitaelewa litakukwepa na kupeleka attention kama sio kwa mamake basi kwa mchepuko!
Tumeambiwa sisi wanawake tukishafanya umalaya tunatafuta mr nice guys tunatulia nao kwa ndoa, sijui ni uongo sijui ni ukweli.,....ila kama divorce rate iko juu na wanaoolewa sio mabikira....tunaweza ku derive kwenye one conclusion; hatuolewi na Mr Nice guys kama wengi wanavyodhani, ni makurumbembe tunaolewa nayo otherwise yangetulia ndoani.
Kila mtu ana sababu zake za kuoa au kuolewa. Zinaweza kutofautiana kwa mtu mmoja na mwingine.unaoa ili iweje kama sio sex?????
Hauna akiliNipo sahihi or not siko hapa kupata validation yako...you can keep your nonsense to your bloody self....nimemention mr nice guys walivyo, kwa percepgtion yangu...kama una agree sawa kama huagree pia sawa...Mr nice guy hajui kuto**mba hutaki hupendi au??? sex inakuja na experience hutaki hupendi au?
Ukiamua kuheshimu mwili wako....do it for yourself, ila ukija kuoa na mkeo aka cheat you have yourself to blame!...iko hivyo
Kama mamakoHauna akili
good sex haiwezi kuvunja ndoa....seriously???...wanaoenda kwa michepuko huwa wanafata nini??..................Je katika reasons za ndoa kuvunjika ipi inakuwa cited as most reason ndoa kuvunjika??? wewe utaoa bila kupata good sex???....niambie mtazamo wakoKila mtu ana sababu zake za kuoa au kuolewa. Zinaweza kutofautiana kwa mtu mmoja na mwingine.
Sababu ya good sex haiwezi kuvunja ndoa, wanawake wanauwezo wa kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu bila shida yeyote, achilia mbali kupata good sex.
Wanawake wengi wamezeekea kwny ndoa zao bila kufikishwa kileleni na waume zao, wanawake wanaofikishwa kileleni ni wachache mno, wengi wanafanya mapenzi kuwaridhisha waume zao tu, na ndoa zao hazivunjiki.
tuachane na naswala ya u mr nice, nipe basi kiduchu...,😁Kenzy wewe sio mr Nice guy, hii mada haikuhusu 😀
mi sijui!Mbona faster mkuu na wewe ni mista naisi gayi
Hawa wanapenda mwae awapige matukio, mwanaume heka heka. Halaf wakisha choka, wanakuja kuita wanaume umbwa, na kulaaniWanawake hamjui mnataka nini izo zingine ni blah blah. Kama hauwezani na nice guys mbona simple kabisa. Wewe jiweke kwa bad boys then waache nice guys na maisha yao, sio kumtaka nice guy aende sambasamba na delusions zako za kishetani.
Kwamba nice guy alieamua kuheshimu mwili wake na heshima yake unataka awe mtombaji holela ili tu apate validation yako. Kwamba nice guy anaeamini katika diplomasia unataka awe dikteta. Wema ndio character yake ndivyo alivyo kama hauwezi nenda kwa badboys
Mwanamke anamtaka mwanaume mualibifu(badboy), ili ajipe kazi ya kumfanya awe mwanaume mwema(nice guy). Unabaki kushangaa kwanini asingeenda kwa mwanaume mwema kuanzia mwanzo ili kuepuka iyo risk ya kuwa potential victim wa mwanaume muaribifu? Mwishoe unakuja kupata jibu kwamba, sababu ni mwanamke hajui anataka nini.Mnaolewa na mr.nice guy baada ya players (guys mna wa desire) kuwachezea na kuwatema. Nice guys huwa wanakuwa last resort yenu sababu hawana restriction nyingi kama other guys
Koma...!Kahaba n kahaba tu
Target number 1 ya single mums ni nice guys, wanajua watapokewa kwa upendo na matunzoMwanamke anamtaka mwanaume mualibifu(badboy), ili ajipe kazi ya kumfanya awe mwanaume mwema(nice guy). Unabaki kushangaa kwanini asingeenda kwa mwanaume mwema kuanzia mwanzo ili kuepuka iyo risk ya kuwa potential victim wa mwanaume muaribifu? Mwishoe unakuja kupata jibu kwamba, sababu ni mwanamke hajui anataka nini.