Kama umewahi/unadate na Mr. Nice guy njoo nikwambie kitu

Kama umewahi/unadate na Mr. Nice guy njoo nikwambie kitu

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
763
Nimegundua watu wanaoongoza kulia na mapenzi ni Mr. nice guys.

Most of them wanachukuliwa for granted kwenye mahusiano. Tatizo ni nini hasa?

Inasemekana nice guys wanajitoa sana, most caring, lakini malipo wanayoyapokea huwa ni kinyume tu.

Hebu tuambie kama uliwahi kuwa kwenye mahusiano na group la binadamu hawa, ni wapi wanakosea, na je ni nini uzuri/strenghs zao ukiwa nao kwenye mahusiano?

Hata humu JF nice guys ndo wanalialia sana
 
Mwanadamu hukiheshimu na kukithamini kitu anachokipata kwa tabu na kukihangaikia.....na kwa wasi wasi.....kuliko kitu anachokipata kwa urahisi...!!!!!....

Nice guys muda wote wanakuwa available kwa wapenzi wao huku wao wakijua ndio kujali na kuonyesha upendo kumbe matokeo huonekana hawana thamani na wapenzi wao huboreka kuwa nao!!!!.....
 
Mkuu huu ndo ukweli wenyewe! Kuwa available mda wote kunasababisha thamani yako kupotea, good example ni Maji + Almasi.
Kiuhalisia maji yana thamani kubwa sana kwa ajili ya ustawi wa mwanadamu, Lakini hakuna siku ambayo umewahi poteza ukiwazia juu ya uthamani wa maji. Vile vile Almasi/ Diamond haina chochote na uhai wako, lakini inaonekana ya thamani kwasababu moja tu, upatikanaji wake ni mdogo.
 
Iv unamfahamu mwanamke vizuri kweli..japo wanasema mwanamke hajui anachotaka lakini ukweli ni kwamba mwanamke anapenda hardthings.

Mwanamke ukimpenda sana utampoteza

Mwanamke ukimsikiliza kwa kila kitu atakuona bwege na atakutangaza kwa mashost zake.

Mwanamke anakua comfortable pale anapokua na mwanaume ambae mda mwingi anakua na msimamo,sura ngumu,asieeleweka,kauzu!

yaan sio mwanume unakua legelege kila mda umekenua meno na kuongea maneno matamu mbele ya mwanamke na kila unachoambiwa unajibu sawa bebe..utachapiwa sanaa!
 
Mwanadamu hukiheshimu na kukithamini kitu anachokipata kwa tabu na kukihangaikia.....na kwa wasi wasi.....kuliko kitu anachokipata kwa urahisi...!!!!!....

Nice guys muda wote wanakuwa available kwa wapenzi wao huku wao wakijua ndio kujali na kuonyesha upendo kumbe matokeo huonekana hawana thamani na wapenzi wao huboreka kuwa nao!!!!.....
nilikua nice kwa mjanja mmoja hv..nikasepa,siku hizi yeye ndo yuko nice,navizia nipige mimba nimkimbie
 
nilikua nice kwa mjanja mmoja hv..nikasepa,siku hizi yeye ndo yuko nice,navizia nipige mimba nimkimbie
Hahaaha we kijamaa umenchekesha, kwaiyo kisu kimemgeukia,
Hebu tuambie uliwezaje kusepa maana hapo ndo pagumu ukishakuwa nice
 
Back
Top Bottom