Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,409
- 2,254
- Thread starter
- #21
Kenzy wewe sio mr Nice guy, hii mada haikuhusu 😀Mpewe udongo tu sasa muumbe mwanaume mnaemtaka!.
Kenzy wewe sio mr Nice guy, hii mada haikuhusu 😀Mpewe udongo tu sasa muumbe mwanaume mnaemtaka!.
Upunguze umalayahawajui kuto***ba,
Mnaolewa na mr.nice guy baada ya players (guys mna wa desire) kuwachezea na kuwatema. Nice guys huwa wanakuwa last resort yenu sababu hawana restriction nyingi kama other guysMzuka JF?
Wengi wa mr Nice Guys wanakuwa wamelelewa zaidi na mama/wanawake baba anaweza awe hayupo ama yupo lakini yupo literally ABSENT ....unakuta wanakuwa hawako balanced wanakuwa na attachment na mama zaidi....yeye kila kitu ni mama, mama ndio ana decide pesa yake inatumika vipi na mama ndio kimbilio lake akiwa na chochote kinachomsibu, including misunderstanding kati yake na partner wake.....siku zote kama mke utajihisi powerless na hutokuwa na maamuzi na ndoa yako.....
La muhimu zaidi nililotaka kuzungumzia ni SEX, usiolewe na mr nice guy hawajui kuto***ba, si ajabu kumkuta yule mvaa vitenge ni bikira ama unakuta senior bachelor ashawahi kuwa na girlfriend mmoja tu au bikira hana experience. Sasa wewe jichanganye uolewe nae, hujui kutopata good sex ndio mwanzo wa moods swing, irritability na Cheating?????? asikwambie mtu foundation ya any relationship ni sex. Sasa usipopata good sex utanuna, utakuwa mgomvi utacreate unhappy home, na lenyewe halitaelewa litakukwepa na kupeleka attention kama sio kwa mamake basi kwa mchepuko!
Tumeambiwa sisi wanawake tukishafanya umalaya tunatafuta mr nice guys tunatulia nao kwa ndoa, sijui ni uongo sijui ni ukweli.,....ila kama divorce rate iko juu na wanaoolewa sio mabikira....tunaweza ku derive kwenye one conclusion; hatuolewi na Mr Nice guys kama wengi wanavyodhani ni makurumbembe tunaolewa nayo otherwise yangetulia ndoani.
hahahahah wewe ndio uko delusional kweli, sikushangai uko kimachale sana kwenye ndoa yako, ni mmojawapo wanaoamini mwanamke yupo to take only, wala huamini mwanamke anaweza kuwa committed na relationship bila kutaka chochote....in that case we wont agree on anything!....Kwa hio unaamini wanaoolewa leo wote wanataka mgao kwenye ndoa zao...ni sawa na kusema kila mwanamke (80%as you put it ) ya wanaoolewa leo wana ulterior motive ya kupata mgao.....very delusional......Hakuna ubaya wowote mama kuwa na ukaribu na kijana wake. Sababu kubwa ambayo inafanya wanawake msiive chungu kimoja na mama mkwe ni kutokana na kwamba wote ni wanwake kwaiyo mnajuana manipulative na cheating codes zenu. Hauwezi kukuta mume ana shida na baba mkwe au mashemeji zake. Mara zote utata unakua ni kati ya mke na mawifi au mama mkwe
Mpaka ukajua mr.nice guy ana perfomance mbovu kitandani je ulimlinganisha na nani? Kwamba una maex 7 unataka bwana mr.nice awazidi wote kwenye kila idara.! Get lid of that delusion and unrealistic expectations. Ulishindwa kujitunza mpaka ndoa bado unaishi na kumbukumbu za mamno yote uloypfanya na maex wako sasa izo consequencies za umalaya wako usimwangushie jumba bovu bwana nice guy. Kama unajijua ni kitombile olewa na kitombile mwenzako
Divorce late iko juu na 80% ya madai ya divorce ni kutoka kwa wanawake hii ni kwa sababu mwanamke anapata reward kisheria pale anapovunja ndoa yake(mgao wa mali, child support, divorce alimony), sababu sio nice guys.
Udhaifu mkubwa wa nice guys kwenye mahusiano ni kushindwa ku-twist emotions za wanawake ambazo zipo influenced na chaos. Mwanamke hawezi kuishi bila dramas kitu ambacho nice guys hawakiwezi. Kimsingi nice guys ndio victims wa wanawake
Hatuolewi na mr nice guys, otherwise ndoa zisingevunjika...ni makurumbembe tunaolewa nayo.,Mnaolewa na mr.nice guy baada ya players (guys mna wa desire) kuwachezea na kuwatema. Nice guys huwa wanakuwa last resort yenu sababu hawana restriction nyingi kama other guys
kamwambie mamako.,Upunguze umalaya
Utajijuuuu...sihitaji validation nimeaandika nonsense or not...Kwanini hili jukwaa lisiwe la wanaume peke yao? Maana ukiondoa post za mheshimiwa , mada nyingi zinazoletwa humu na wanawake ni Nonsense
Keep on being mr Nice mwaya, nimejiskia kufanya fujo tu leo...nipo nimekua msomaji zaidi lolAnita Makirita, ulipotelea wapi mkuu?
Sisi wanaume mabikra tumekukosea nini?
1. Hatutaki "kuharibu" mabinti za watu.
2. Hatutaki magonjwa ya zinaa.
3. Hatutaki mimba zisizotarajika.
Utajiju, mimi hunihusu, nikikujibu usiseme hujawahi kunichokoza...kuingia na id ya kiume wakati jike msonyoooooKWasu KWasu B2B Midfielder.
Kama kawa, kama dawa.nimejiskia kufanya fujo tu leo
Mwandiko wa kiume huu.Embu chukua time huko you are in your 40's na stori yako ni girlfriend mmoja, hio sio nature ya wanaume...kama ni wewe sooon utaleft group huna testosterone...
BrazaaaaUtajiju, mimi hunihusu, nikikujibu usiseme hujawahi kunichokoza...kuingia na id ya kiume wakati jike msonyooooo
Gendaheka kabisa Kamanda.Mwandiko wa kiume huu.
sasa hayo makurumbembe ndio mnayapenda sana wenyewe, mwisho wake ni nn?Hatuolewi na mr nice guys, otherwise ndoa zisingevunjika...ni makurumbembe tunaolewa nayo.,
brazaa wako nani, huna hata haya kutaka kuonekana wa kiume...Brazaaaa
Kujifanya KE na mwandiko Mgumu Kama Dotto Magari huogopi ?