Mr. Nice amefulia yu hoi Taabani

Si bure... atakuwa anaumwa huyu jamani. Tusifanye mzaha kwenye hili. Tunaomba wale walio na taarifa watujuze.. Hiyo hali kwenye picha inaonekana kama anasumbuliwa na kaugonjwa fulani....

ki afya naona si mzima huyu. angalia sura yake, haina tumaini kabisa, lakini si mnajua mzazi mwenzake alishatangulia mbele za haki.
 
mshikaji alipanga nyumba nzima pale karibu na kona bar africa sana, jamaa enzi hizo ndo ana pesa mbaya usipime, gari mbilimbili,
kweli kwenye maisha kuna kupanda na kushuka
 
 
Last edited by a moderator:
Its natural kwetu sisi binadamu. Maisha yakikuendea kombo..lazima watu wata-note na watatoa maoni yao yawe mazuri au mabaya. Lakini vile vile tusisahau kwamba umaarufu una gharama zake. Sasa kama ukiwa maarufu watu wanalipa pesa kuja kukuona unaimba..well..expect kwamba mambo yakikubadilikia hao hao waliokuwa wanalipa hela zao..watauliza kulikoni? Kwa hiyo mimi watu hapa kusema kwamba huyu bwana kafulia..sioni ajabu kabisa..Its natural. Haiwezekani wewe uitwe star..harafu yakija mambo mengine..ya maisha yako..useme kwamba haya ni private...well ukishaamua..life choice...you have to live with it. Mimi masanja leo nikilala njaa..au nimekula pilau..no body cares....why? kwa sababu mimi sijawahi sema kwamba ni star nataka attention.

Mr. Nice..pole maisha ndivyo yalivyo!

Utatoka tuu. fanya kazi kwa bidii na mtumainie Muumba wako.
 
Huu uzi wa 2011, mpaka leo 2022 ni miaka 11 kwa hiyo jamaa ameishi na ngwengwe kwa zaidi ya miaka 13!!???
 
Na baaaaado si alizani Dunia imeganda haizunguki, na atakoma inawekekana akafulia mazima sababu takeu style haina soko na watoto wanapenda miziki ya wakubwa sasa hivi
Una roho mbaya, ya chuki na kichawi

What do you gain Kwa kumuombea mtu mabaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…