Mr & mrs nguli-on our first date

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
http://api.ning.com/files/0*SPvhdo8...B-tps*UG*Rh5gdKTxCGvbgPUJx4Tf86E/DSC05190.JPG
DSC05190.JPG
<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p></o:p>
 
waoo mkeo ni mrembo!
mbona umetuwekea picha moja tu?:A S tongue::A S tongue:
 
Si mchezo mrs nguli aibu kibao mr nguli alikuwa anampigia tu mahesabu mwenzie
 
Si mchezo mrs nguli aibu kibao mr nguli alikuwa anampigia tu mahesabu mwenzie

Ha ha ha ha ha, Was deeply madly crazly humbly breathlessly in loveeeeeeeee
 
he he he mkuu skujua kama ulikuwa jeshi la mgambo! halaf hii picha inaonesha mlikuwa mnacheza baba na mama porini nyinyi.dah!
 
Nilikuwa na WIVU sana home gal

dah ila hapo wivu muhimu mama jr kifaa ujue!!! nimeamini ukishiriki wivu lazima 'ugonde' home boy siku hizi umejiridhisha naona afya tele!!!
 
Asante Rose kwa bahati mbaya tulipiga picha moja tu tulikuwa shuleni moshi vijijini hapo

mie nimefurahi umekuwa na courage ya kuweka picha yenu hapa,
ningependa kuona harusi na sherehe mbalimbali za wana JF kwenye jukwaa hili!
 
he he he mkuu skujua kama ulikuwa jeshi la mgambo! halaf hii picha inaonesha mlikuwa mnacheza baba na mama porini nyinyi.dah!

Ha ha ha ha we both love nature man, so we go out in the evening and spend time on the garden and hills

Mpwa nina imani anamgombea mwenza huyo! Zingatia vigezo na mashariti. Nina imani Mzenj hatosoma hii post ya Masa

Ha ha ha ha tuko pamoja

Naam Nguli umeshamwoa huyu ama bado unaotea moto tu!

tayari na tuna ka litle Nguli kamechukua rangi ya mama yake,

mie nimefurahi umekuwa na courage ya kuweka picha yenu hapa,
ningependa kuona harusi na sherehe mbalimbali za wana JF kwenye jukwaa hili!

Pia na wewe uweke yako na Cloroquin aliniambia nyinyi ni wapenzi wa muda sasa.
 
Wife mrembo ila wewe Nguli honeymoon unavaa kofia la ajabu ajabu namna hiyo
Hongera sana good choice .
 
Wife mrembo ila wewe Nguli honeymoon unavaa kofia la ajabu ajabu namna hiyo
Hongera sana good choice .

Uliwahi kufika Rombo eneo la Mamsera? kuna baridi sana sana, pia kwa enzi hizo ilikuwa ndio fsheni kule kijijini.
 
Back
Top Bottom