Ndugu yangu nguvumali, naomba tuwe waangalifu tusije kuwa tunaleta masuasa ya chuki binafsi kwenye kazi za watu. Ruge ni promota, sio msanii, yeye anawapromoti wasanii na wengine wakishasimama, wanajipromoti wenyewe na wengine kugeuka nao ni mapromota, kama alikomtoa JD na sasa JD alipo.
Mr. II ni msanii ambaye ameshasimama na sasa ni promota.
Naomba nimtete Ruge, na Joseph kwa kazi nzuri walizofanya kupitia kampuni ya Prime Time Promotion na Clouds Radio, msanii ambaye was nothing kugeuzwa kuwa something overnight huwezi kusema anadhulumiwa.
Msanii anaelalamika ni yule anaengalia amelipwa nini na kujilinganisha na promota analipwa nini bila kuangalia investment cost. Natolea mfano mdogo tuu, hiyo mic huyo msanii anayoimbia nyingine inacost mpaka milioni 10!, msanii akiimba zikalipwa milioni 3, yeye akapewa milioni moja, promota kabaki na milioni 2, hapo ndio basi kelele za kudhulumiwa!.
Tufike mahali tuwashukuru baadhi ya mapromota wetu, na kukubali baadhi ya wasanii wetu wana matatizo, haswa hawa wa kizazi kipya, wamezidi!.
well.. sisi tumejifunza kwenye suala la kusaidia Red Cross!!!
Hivi lile tamasha kulikuwa na kiingilio? basi Kikwete mwenyewe was in the deal.. alitumika kuwatengenezea watu fedha.

Rais naye si anapenda bongofleva, so asingemiss opportunity ya kuwa pale kikazi (bila kuzua mjadala.)RUGE na clouds ni watu wabaya sana kwa music wa Tanzania. Me nilishangaa tamasha la malaria watu wanatoa kiingilio. Lile lilikuwa deal tu...
Rais wetu kilaza naye kwa kukurupuka anafanya mambo bila kuwa makini,ataendaje kwenye uzinduzi ambao ni biashara? Malaria ni tatizo Tanzania lakini lisigeuzwe biashara na baadhi ya watu kama ukimwi ulivyogeuzwa.
Mimi nilijisikia aibu kubwa sana kwa nyimbo zile za mapenzi wakati kampeni ni ya malaria .bora hata wangeimba nyimbo za siasa. Na raisi ndio mgeni rasmi? kweli walichemka sana.nyimbo zenyewe kuimba live hawajui ilimradi vituko tu.Nchi hii bwana, yaani kila kitu usanii tu!
Mkuu wa nchi msanii, rahisi kudanganywa mwepesi kuamini tena huyu angehoji kwa nini kuwe na kiingilio kama kuna nia nzuri ya kupamaba na malaria.
Nyimbo zilizoimbwa pale si za kupamba na malaria.. '''nenda kamwambie aha mimi nampenda'' mara ukapigwa mwingine '' we mama mbaya, tena mbaya sna kukaacha ka mwana kako peke yake ndani kamelala.......
Mkuu yupo anatikisa kichwa na mguu. Niliudhika sana nikajisemea moyoni hatuna mkuu wa nchi
well.. sisi tumejifunza kwenye suala la kusaidia Red Cross!!!
Hivi lile tamasha kulikuwa na kiingilio? basi Kikwete mwenyewe was in the deal.. alitumika kuwatengenezea watu fedha.
mmmh, mwaka huu ndo kuna uchaguzi eeh?MM usisahau kuwa January Makamba anasema ametumwa na mkulu kwenda kumn'goa Shulukindo huko bumbuli kwahiyo hiyo dili inawezekana ikawa ndio katika kuchangisha pesa za kugombea ubunge; January asingeweza kupata mshiko kama dili ingepitia kwa Mr.11 kwahiyo akaipitisha kwa Ruge!!
Mwanakijiji
Tamasha lilikuwa na kiingilio kuanzia Tsh 3,000. Yaani ilikuwa vichekesho kweli,watu wamelipa pesa zao,VIP wakaingia BURE na wakapewa na vyandarua BURE. Wenzangu na mimi walilipia pesa hakuna hata chandarua au elimu ya maana iliyotolewa.
HII NI MARA YA KWANZA WATU WANAENDA KWENYE UZINDUZI WA VITA DHIDI YA UGONJWA WANALIPIA PESA........
HII KAMPENI ILISHINDWA SIKU YA KWANZA KABISA YA UZINDUZI.