Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

shansarie haitamkiki bana ina jina gumu kama dawa ya mzizi
Mhhh ndo alivyokudanganya huyo kiwatengu kuwa katika safari amechoka wakati alionekana mitaa ya njia panda himo akiwa na ......... Ngoja niishie hapa

sikatai inawezekana huyo aliyekuwa nae ndo kamchosha,ila sina jinsi mi natimiza jukumu langu kama mke.
na mwenyewe anajua achoshwe achosheke haki yangu lazima anipe
shansarie haitamkiki bana ina jina gumu kama dawa ya mzizi
ngoja kiwatengu atajakusaidia kulitaja
 
Last edited by a moderator:
sikatai inawezekana huyo aliyekuwa nae ndo kamchosha,ila sina jinsi mi natimiza jukumu langu kama mke.
na mwenyewe anajua achoshwe achosheke haki yangu lazima anipe

ngoja kiwatengu atajakusaidia kulitaja

kiwatengu hebu kuja pande hzi unisaidie kutaja kile kiungo chenye kiherehere bana kupita vyote mwilini mwa mwanaume
Hahahahahah nimependa hapo laIma afanye kazi iliyomleta kwako hapo kiwatengu lazima kiuno kiwekewe spring
 
Last edited by a moderator:
mkumbuke muumba wako siku za ujana wako ameenda kusali atajibu akirudi

Nimeipenda sana sana hii
Kweli mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku zile ambazo huwezi tena kufanya lolote na watakuwa wanakuamrisha kama mtoto
Na kumbuka tuu kwamba mambo yote tufanyayo ni ubatiki mtupu
Na kila jambo na wakati wake wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom