Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Dada mimi niko poa na mai wife wangu...
ila kuwa makini utaibiwa atii
Dada mimi niko poa na mai wife wangu...
Salam kwa familia yakomi mzima sana nimejaa tele
daah pacha mwenzio si nilisinzia hapa pembeni ya shemeji yangu kiwatengu......! Yaani nimekuja kushtuka napigiwa cm na shemejio si ndio nikakumbuka ku log out.....ha ha ha haa..!!!!!!!
hahaha we si ndio umenificha ha hii baridi ya arachuga..........
pacha usimbembeleze huyo kula kwa tindo
:busu:busu:busu
haya makiss taratib jamani mume wa mtu huyu
Ni kama obama na mama first lady...nothing serious.....!
ladyfurahia ina maana umc umekataa tena au? na zile kadi za harusi zipo tayari sasa hv ama, maana naona unaendelea kunishambulia tu huku kazi niliyokupa hujaimaliza!mtu anayewadharau wanawake na kuona kuwa
si lolote wala chochote kwao wanini kumpa hongera? TheDealer alitutusi sana sisi wanawake kutuambia
kuwa anamtaka mwanamke aliyezaggaaazagaaa
ambaye si lolote si chochote? kwanza kiongozi Baba V
ampe onyo kali huyu mtu kutuchafua hapa jamvini na
aombe msamaha kwa wanawake wote wa cc kwani
hana adabu wala hishima, ikizingatiwa ni holy month
kwanini....?