Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

wewe sina hamu nawe kabisa
kuniteka uniteke wewe[
alafu uje useme nilitaka kuja mwenyewe
umeniletea majangaQUOTE=kiwatengu;6947454]ha ha ha ha...haya anaelezwa Kaizer ama?

utahudhuria harusi ya TheDealer?[/QUOTE]
 
wewe sina hamu nawe kabisa
kuniteka uniteke wewe[
alafu uje useme nilitaka kuja mwenyewe
umeniletea majanga.[\QUOTE]

mimisa i think style ya kukuteka ndiyo the best one and i will always do it when i need u!!
 
Last edited by a moderator:
after three months my dear...kuhusu korosho usijali tunaukaribia msimu! is toshe ts part of ma business!!

Woow nitafurah sana kutafuna korosho kutoka kwako....ila 2 months dah...nitakumiss
 
mimisa mbona dhoruba sikuipata mara ya kwanza?
ha ha ha ha i'm great than them..
mwenye kisu kikali ndiye mla nyama!!
 
Last edited by a moderator:
mtu anayewadharau wanawake na kuona kuwa
si lolote wala chochote kwao wanini kumpa hongera? TheDealer alitutusi sana sisi wanawake kutuambia
kuwa anamtaka mwanamke aliyezaggaaazagaaa
ambaye si lolote si chochote? kwanza kiongozi Baba V
ampe onyo kali huyu mtu kutuchafua hapa jamvini na
aombe msamaha kwa wanawake wote wa cc kwani
hana adabu wala hishima, ikizingatiwa ni holy month
 
Last edited by a moderator:
Mtu anayewadharau wanawake na kuona kuwa
si lolote wala chochote kwao wanini kumpa hongera?
TheDealer alitutusi sana sisi wanawake kutuambia
kuwa anamtaka mwanamke aliyezaggaaazagaaa
ambaye si lolote si chochote? kwanza kiongozi
Baba V
ampe onyo kali huyu mtu kutuchafua hapa jamvini na
aombe msamaha kwa wanawake wote wa cc kwani
hana adabu wala hishima, ikizingatiwa ni holy month

 
Back
Top Bottom