Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

umenionea wapi kitufe cha kudislike nakitafuta sana, Bishanga atapata partner hivi punde

wewe uwe patna wa bishanga? si umeniambia nikimaliza niwe nanawa na magadi? sasa inakuwaje tena
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu bado tuu uko na mimi na KOKUTONA
Ila kashapona na alichokipata mpaka akapona ni siri yetu mimi na yeye wewe kalaghabaho tuu utabakia kusambaza udaku huku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom