KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Ulikuwa wapi muda woote huo mi nakuita? MAPIGO YA MOYO YALIKUWA YANARUDI NYUMAA.. kiwatengu kaniletea dawa ujue..tena faasta hata sikutegemea
Last edited by a moderator:
Ulikuwa wapi muda woote huo mi nakuita? MAPIGO YA MOYO YALIKUWA YANARUDI NYUMAA.. kiwatengu kaniletea dawa ujue..tena faasta hata sikutegemea
kiwatengu wakati wewe unajua huu wenzio washajua ule siku nyingi sana
We ulipoacha nyayo wenzio walishapita kimya kimya hawakuacha hata alama
We kumbe huwa ukifanya mambo yako unaacha alama watu watakujua wewe
Wakati wewe unamponya KOKUTONA wazi wazi mpaka mkeo akapata taarifa sisi tulishfanya utundu miaka hiyo na hatujaacha alama yoyote
KOKUTONA usije ukamwaga kuku kwenye mchele wengi bana waache wautafute wenyewe
kidogo kodogo mkuu, mm mwenyewe nimehaso ile mbaya!
kiwatengu wakati wewe unajua huu wenzio washajua ule siku nyingi sana
We ulipoacha nyayo wenzio walishapita kimya kimya hawakuacha hata alama
We kumbe huwa ukifanya mambo yako unaacha alama watu watakujua wewe
Wakati wewe unamponya KOKUTONA wazi wazi mpaka mkeo akapata taarifa sisi tulishfanya utundu miaka hiyo na hatujaacha alama yoyote
KOKUTONA usije ukamwaga kuku kwenye mchele wengi bana waache wautafute wenyewe
Waoh!! back to u tena na tena..