Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

Shemeji Lady doctor...mambo vipi wewe ulifika singida salama?

There are currently 2 users browsing this thread. (2 members and 0 guest)

 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda sana sana hii
Kweli mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku zile ambazo huwezi tena kufanya lolote na watakuwa wanakuamrisha kama mtoto
Na kumbuka tuu kwamba mambo yote tufanyayo ni ubatiki mtupu
Na kila jambo na wakati wake wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna

shemeji kumbe humo na wewe
 
Back
Top Bottom