Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,433
- 139,501
Kitendo cha walimu kuendesha maisha yao kwa mikopo kimechangia hizi shida
[emoji38][emoji38] kauli kama hizi ndio zinafanya watu wawadharau walimu. Familia nyingi tunazotoka zina angalau walimu wawili, tunaona changamoto zao, sasa wewe kuja kusema watalipwa mbinguni kwani wanafundisha mbinguni?Kaka tutalipwa mbinguni huu ni wito kaka, najua hii kazi ni ngumu lakini haina jinsi, muhimu turidhike tu