englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
wasomali wanakula mpaka spagetti na ndizi!
mimi huwa nanywa chai na ndizi mbivu...
Kha. Best ukicheua unatoa biogas lazma
Kheri ya hio!!wao pasta,spagetti,makaroni vyote kwa ndizi ni balaa...mimi huwa nanywa chai na ndizi mbivu...
wallahi we acha bila ya ndisi habana tamu hiyo basto iyo macarroniKheri ya hio!!wao pasta,spagetti,makaroni vyote kwa ndizi ni balaa...