MPUMBAVU sio tusi kama mnavyofikiria.

Frekim

JF-Expert Member
Mar 29, 2013
321
51
neno mpumbavu ni kaka yake na neno mjinga. Kuna watu humu wanasema kuwa Sugu amemtukana waziri mkuu pinda mimi nasema hapana hajamtukana, mtu ambaye hanafanya mambo ambayo hayaendani na utuuzima anaitwa mjinga akindelea kufanya ujinga anaitwa mpumbavu inaamana ule ujinanga umezidi hadi akawa mpumbavu...
Inawezekana sugu ajakosea...
Nawakilisha...
 
Nasema sugu amekosea, yafaa amuombe radhi waziri mkuu, siasa gani hizi anashindwa kumuheshimu hata kwa umri wake! loh,
 
Hivi ili mtu amtukane mwenzake anatakiwa asemae au afanye nini?kwangu mimi sijawahi kukutana na matusi ila huwa nasikia watu wakisema nitakutukana halafu wanataja viungo vya mwili hasa cha kujisaidia haja kubwa au wanataja tabia na sifa za mtu husika kwa mfano hili la waziri mkubwa,kwa namna sugu alivyomuona waziri mkubwa ameona ana tabia ya kufanya mambo ya kipumbavu ndo akaamua kusema ni Mpumbavu.mpaka hapo sijaona Kama sugu ametukana.ifike mahali tuheshimu mawazo na mitazamo ya wengine kwani hatuwezi kufanana kwa Hilo.kama mtu anaona kuwa huyu waziri mkubwa anafanya mambo kwa busara naye aheshimiwe mawazo yake na mtazamo wake.tuslumbane kwa tabia za watu
 
sawa. kwa hili mahakama imeonyesha ukomavu. Sasa CCM wataanza kumtafuta Sugu kwa hali zote
 
Back
Top Bottom