JF bwana...kuna siku watu watazipa ngumi contribution ya mtu mbele ya computer zao wakasahau watasahau atakayepata hasara atakuwa ni yeye mwenyewe. teh teh teh... Eng. Y. Bihangaze umeamua kuanzisha uchokozi wewe,lol!
Nna uhakika mleta mada hujawahi kuongoza hata nyumba moja, wacha ujumbe wa nyumba kumi. Halafu eti unaweza kumsema anaeongoza watu zaidi ya million 40! tena kwa mafanikio makubwa kuliko kiongozi yeyote wa kabla yake.