Haya bana... Kila la kheriMsanii wa musiki wa kiasili mrisho (Mjomba) amesema mwaka 2015 amesema atagombea ubunge bila kutaja CHAMA WALA JIMBO ATAKALO GOMBEA ameyasema hayo kwenye kipindi cha tuongee cha star tv leo.
Teh teh teh!Kweli Ruvuma imeingiliwa,jana nilikuwa nasoma gazeti la Tanzania Daima Joketi naye anasema atagombea ubunge huko Ruvuma!Mtarajiwa huyo ruvuma huko!!!!!!!!!!
funguka kidogo mkuu,sijakusoma vizuri!kama anataka kugombea upinzania atakuwa kamanda dhaifu
Siasa zimekuwa nyepesi sana kila mtu anataka ubunge hata Mwita Maranya, Mohamedi Mtoi, hawa nao wanataka ubunge.
CC. chama,
Siasa zimekuwa nyepesi sana kila mtu anataka ubunge hata Mwita Maranya, Mohamedi Mtoi, hawa nao wanataka ubunge.
CC. chama,
Mtarajiwa huyo ruvuma huko!!!!!!!!!! sio kwa kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI chama anajua mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!
kwani wewe umewaona ni wepesi sana kuwa wabunge au?Siasa zimekuwa nyepesi sana kila mtu anataka ubunge hata Mwita Maranya, Mohamedi Mtoi, hawa nao wanataka ubunge.
CC. chama,
Mnataka uongozi ubakie kwenye familia zenu tuu?Siasa zimekuwa nyepesi sana kila mtu anataka ubunge hata Mwita Maranya, Mohamedi Mtoi, hawa nao wanataka ubunge.
CC. chama,