Mponda: Nitajiuzulu kuepusha vifo na si shinikizo la madaktari!

waziri wa afya dr haji mponda amesema yeye atajiuzulu ili kuokoa roho za watanzania ambao wataathirika na mgomo mpya wa madaktari na si kwa shinikizo!

Hayo aliyasema jana usiku kwenye kikao cha dharura cha baraza la mawaziri cha kujadili mgomo mpya wa madaktari na manesi!

Hata hivyo mponda ametoa rai kwamba watanzania wawe makini sana na jinsi watu wanavyotumia migogoro kwa maslahi yao binafsi huku wakisababisha maafa makubwa kwa raia wasio na hatia, na kusema kuwa kama wana taaluma wakiingia kwenye ushabiki wa siasa nchi itaingia kwenye mgogoro mkubwa na kudhoofisha ustawi wa taifa letu!

mbona bado yupo?
 
Ajiuzuru sasa sio kuleta ngonjera watu wanakufa yeye analeta nyimbo

Waziri wa Afya Dr Haji Mponda amesema yeye atajiuzulu ili kuokoa roho za watanzania ambao wataathirika na mgomo mpya wa madaktari na si kwa shinikizo!

Hayo aliyasema jana usiku kwenye kikao cha dharura cha baraza la mawaziri cha kujadili mgomo mpya wa Madaktari na Manesi!

Hata hivyo Mponda ametoa rai kwamba watanzania wawe makini sana na jinsi watu wanavyotumia migogoro kwa maslahi yao binafsi huku wakisababisha maafa makubwa kwa raia wasio na hatia, Na kusema kuwa kama wana taaluma wakiingia kwenye ushabiki wa siasa nchi itaingia kwenye mgogoro mkubwa na kudhoofisha ustawi wa taifa letu!
 
too late, alikuwa wapi kwenye mgomo wa kwanza? na mbona bado anachelewa? stupidityyyyyy............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yaani kujiuzulu ni uzalendo mkubwa sana ili iwe sasa ni tukio la uwajibikaji kwa wote mbona hata mke akikosea hata watoto wanamkea bila kujali yatokanayo?
 
Back
Top Bottom