Mponda alipataje PHD kutoka London School of Public Health?

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
ukimsikiliza waziri mponda unaweza kukadiria uwezo wake wa kielimu na kisiasa sio mkubwa.haonyeshi kuwa ni mtu wa kujiamini na kutetea kile anachokisema.kwa taarifa zisizothibitishwa ,mponda ni graduate wa london school of public health.nashindwa kuamini kama kweli huyu mzee alipata elimu yake kutoka chuo hiki.kama yupo aliyesoma nae atujuze zaidi.
 
ni kweli uongozi hausomewi!unajionyesha kwa matendo ya mtu mwenyewe.lakini sitegemei mtu mwenye PHD afanye yale anayofanya mponda.
 
Wanasayansi huwa hatuna muda wa kuongea. Ni kutenda tu kwa kwenda mbele. Hongera Dr. Mponda.
 
Back
Top Bottom