WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
aliyekuambia hawataki kutajwa nani?sasa wenzio wanatoa hela ili wawe wanatajwa tajwaMpoki punguza kutaja majina ya watu kwani walio wengi hawapendi.
Hacha kuonesha nikiasi gani hauko styled up. try to disign some thing else coz we are getting used of the stuff you talk every day.
People stop critisizing them just advise them on what to do ok.
mkuu umenikumbusha mbali hasa ile siku aliyokuwa anamuigiza anamsifia mama nagu,,hahaaaaaaa it was nice stuff to watchJamani jamaa huwa akimuigiza Komba huwa anampatia kinoma jamaa anakipaji.
JP
Asante kujitambulisha kuwa nawe ni mmojawapo.Kama walivyosema wengi hapo juu..ukiona hakikufai basi badili chaneli tu - simple as that.Ukilalamikia umma ukuunge mkono ati unakera ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
watu bwanaaa majina hayohayo yakitajwa kwenye nyimbo za twanga pepeta,FM academia,Akudo Impact............ tunazichekelea na kuzifatisha kuimba huku tukitoka jasho kulicheza sebene , lakini akitaja mpokiii oooooh naboreka ................... acheni chuki binafsi, au mkuuu ndo wale kundi la akina kanumbaa? hahahha maana sidhani kama kanumba na wenzie wanataka kuwatch ze comedy........... wana hasira haoooooooooostyle anayoitumia mpoki wa origino komedi, ile ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inapunguza radha ya kipindi na kutudhalilisha sisi wahaya au kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani????
ina kera any atafute njia nyingine alafu anatakiwa aende course ya english atleast kusute na wazangustyle anayoitumia mpoki wa origino komedi, ile ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inapunguza radha ya kipindi na kutudhalilisha sisi wahaya au kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani????
aliyekuambia hawataki kutajwa nani?sasa wenzio wanatoa hela ili wawe wanatajwa tajwa
Mugo"The Great";591462 said:Kinachonisikitisha kutoka kwenye Komedi original ni ile style yao ya kuwacheka watu ambao biashara zao zimeyumba kuwa wamefulia. Hata uchumi wa nchi huwa unayumba sembuse mtu mmoja. Wasiwasi wangu ni kuwa msemo huu utakuja kuwasuta hapo baadaye watakapofulia manake sio sustainability yao beyond 5-10yrs kuanzia sasa.
Tatizo la kifilosofia, tusitake kila mtu awe na mtizamo sawa na mwengine hii ni kweli kabisa tupo tofauti ndoomaana kuna masanja,mpoki na asha ngedele utakuta kila mtu anapenda jinsi asha anavyoigiza mwingine anapenda Masanja binafsi huwa napenda jinsi mpoki anavyoigiza ni safi sana anajitaidi.
Let say kwenye Second chance napenda Walter na yule bibi jinsi wanavyoigiza unakuta mtu mwingine anapenda Salvado tukubaliane tu na jinsi hali ilivyo maana ndivyo mpoki kabuni.
Keep it up! Mpoki.
mie nakutuma bwana kamwambie apunguze kidogo maneno asilia kubwa ya kipindi anaongea sana ...au ndo maana ya komedi hiyo
mwanaumeeeeeeeee- endeleaaaaa- shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
mwanaumeeeeeeeee- endeleaaaaa- shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii