Mpokee kwa amani Marehemu!

Pole sana mkuu, wote tuko kwenye msafara
 
I can imagine your pain my dear. umenikumbusha mamangu alipofariki. mama zetu wadogo took care of us like we are little gals. tunafanya kazi lakini watakupigia kukuuliza tu unaendeleaje, na akisikia unaumwa atafunga safari.
Celebrate her life na miaka mingi ya mema mliyopata pamoja
Da' King'asti !
Ama kwa hakika ni faraja kwangu iliyoje! Kwa kukuona umeungana nami ktk Uzi huu maalumu kumhusu mpenzi Mama yetu .
 

Uthubutu wako wa kurejea hapa kwa mara ya pili Da' King'asti kunaonyesha namna gani umeguswa na issue hii "Mtambuka"
Ni dhahiri umeongeza chachu katika ukaribu baina yetu .
Pole ya awali nawe kwa kuwapoteza Mommys kabla yangu .
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu... mbona sikuwa na hizi taarifa!??

Sorry my dear, charminglady ilitokea unfortunate niliyempa duty ya usambazaji habari kifaa chake cha kusambazia kilikumbwa na technical prob .
Btw kunichinjia kwako mto Mirongo kumeongeza ombwe baina yetu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…