Acha ubishi,hamjawahi kufikia vipaji hivi vya La Liga:
1. Bebeto
2. Aimar
3. Romario
4. Puskas
5. Butragueno
6. Stefano
7. Companero
8. Guardiola
9. Messi
10. Zubizareta
Sasa ndugu yangu hebu tazama orodha ya wachezaji hawa...
Alvaro Recoba, Dejan stankovic, nicola Amoruso, Pavel Nedved, Nicola Ventola,
Zvonimir Boban, Uncle Seedorf, Marcelo Salas,
Sheva, Ivan Zamorano, Vieri, Nakata, Batistuta, Maestro Manuel Cesar Rui Costa, Alesandro del
Piero, Trezeguet, Mauro German Camoranessi,
Vicenzo Montella, Francesco Totti, Pippo Inzaghi,
Danielle De Rossi, Tordo, Buffon, Dida, Peruzzi,
usiku wa Nyota Demetrio Albertini... Na hapo kuna majembe kama Maldini, Thuram,
Veron, Diego Simeone, stam, Cafu, edger Davids.
Hawa ni wachezaji ambao wamecheza karne ilopita na karne hii pia waliingia kwa vishindo.
Ukitaka nikutajie wanaoendana na akina Companero, di Stefano na Zubizaleta its OK.
Mie ntakutajia triple Dutch
1. Van Barsten
2. Gullit
3. Riijkhard.
Pia ntakutajia watu kama Opong' George Wear, Roberto Baggio, Deschamps, Daniel Masaro, Carlo Ancelotti, Roberto Donadoni, Ravanelli, Vialli, Marcel Desailly, Franco Baresi, Fabio Capello na wengine weeeeeeeeeeeengi.
Acha habari zako