Mpira Umekosa Ladha

Mpira Umekosa Ladha

Huyu aliyeleta ule ugonjwa wa dunia kwenye mpira yaani formula ndiye kaaribu kila kitu. wachezaja hawana uhuru wa kuonyesha vipaji vyao.Ninashuhudia mara kwa mara hata huko ulaya mchezaji akipiga chenga jukwaa zima linashangilia nikajua kumbe hata wao vitu hivyo adimu wanavikosa? JAY JAY OKOCHA, DELINSON,DELIMA, CARLOS, TARIBO WEST
Hiyo ni EPL tu lakini ligi nyingine zinawapa wachezaji uhuru wa kutumia akili zaidi kuliko nguvu.
 
Swali lako zuri...
Real Madrid kabeba UCL 9 na AC Milan kabeba 7.

SWALI:
Kati ya Real Madrid na AC Milan ni timu ipi imebeba makombe mengi ya kimataifa?
Ambayo inaitwa most successfull football club?

unaongelea supercup, kombe la losers?

ucl ndio kipimo cha timu bora ulaya!
 
Wachambuzi wa soka bongo utawasikia wanavyotoka povu kumfagilia rooney
 
Then nilivisahau vichwa kama Dejan Stankovic na Alvaro Recoba
Recoba,Forlan na Dario Silva,waulize Senegal WC 2002 kule Korea Kusini na Japan,walikuwa kundi 1,na mechi yao ya mwisho mpk ht Senegal anaongoza 3-0,kipindi cha pili Forlan alianza kufunga bao la mbali mara Dario la 2 na Recoba la 3 la penati dk za mwisho,Senegal nao walifunga 1 la penati Diouf alidive lakini,waiokuwa wanaomba mpira uishe Senegal hasa pale Ferdinand Coly kutoka na kuingia Habib Beye ambae alikuwa ndie kichochoro kwa Alvaro Recoba
 
unaongelea supercup, kombe la losers?

ucl ndio kipimo cha timu bora ulaya!

Jibu swali...
Usitumie kichwa kubebea masikio.
Mimi sijaongelea kombe kama wewe, mimi nimeuliza ni timu gani yenye mafanikio ya kimataifa?
 
unaongelea supercup, kombe la losers?

ucl ndio kipimo cha timu bora ulaya!

Then nikukumbushe tu Santos, Boca Jr, Corithians na River Plate huwa hazishiriki Uefa champions League...

Usikurupuke siku nyingine
 
Acha ubishi,hamjawahi kufikia vipaji hivi vya La Liga:

1. Bebeto
2. Aimar
3. Romario
4. Puskas
5. Butragueno
6. Stefano
7. Companero
8. Guardiola
9. Messi
10. Zubizareta
Waspain wengi vipaji wanamini majimbo mawili Catalan na Basque country,Catalan kina i eg iSala(Guardiola),iCreus(Xavi),iSaforcada(Puyol),iBurgos(Busquets),iBernebeu(Pique),iMandez(Capdevilla),iSoler(Fabregas),iBayo(Vilanova),iArribis(Valdes) nk,ukija Basque Country wanaishia na eta eg Mendieta,Zubizareta,Arteta,Susaeta,Anoeta,Azplicueta,Irureta,Arunzibieta nk kama mikoa ya Kagera eg Kaitaba,Kahangwa,Kajuna au Mbeya Mwakasisi,Mwaijage,Mwaipopo,Catalan wanaundwa na jiji la pili kwa ukubwa Spain na maarufu lenye timu bora FC Barcelona na jimbo la 5 kwa uchumi nchini Spain,wakati Basque Country ni jimbo la pili kwa uchumi Spain baada ya Madrid na una miji miwili maarufu Bilbao(ATletico Bilbao 1 ya timu 3 haijawahi kushuka daraja sambamba na Barca na Real Madrid)na jiji la San Sebastian(Real Sociadad walipozaliwa Arteta na Alonso)mpakani na France na ina watakatifu wawili maarufu San ni Saint au Mtakatifu kuna Mames aliekuwa anasifika kwa kufuga simba wengi sijui sasa yeye na Haile Selassie nani alikuwa na simba wengi(naskia hadi Ndolanga nae anafuga simba sijui kweli aun nyeti)huyu alipatikna jijini Bilbao na mpk uwanja wa Atletico Bilbao umepewa jina lake San Mames,mwingine ni San Sebastian.
 
Diego Tristan na Walter Pandiani walikuwa na kombination kali sana, Tristan alikuwa anawatungua sana Madrid,watu wanawasifia kina XAVI but Juan Carlos Valeron alikuja kiungo mkali sana sema alicheza timu ndogo.Pablo nimemuona juzi bado anacheza nadhani ni mmoja ya wachezaji wenye umri mkubwa kwa sasa
Pablo ni 1 wa wachezaji wenye umri mkubwa la liga,pia kuna Ricardo kipa wa Osasuna(alikuwa ex man Utd miaka ya 2002),Palop kipa wa Sevilla nae alikuwa ex Sub valencia wakati ule wa Canizares,eg Donato alicheza mpk alipofikisha miaka 42 pale deportivo na kitambi chake.
 
Jibu swali...
Usitumie kichwa kubebea masikio.
Mimi sijaongelea kombe kama wewe, mimi nimeuliza ni timu gani yenye mafanikio ya kimataifa?

Kwa hiyo Milan imechukua kombe la dunia la vilabu kuliko Madrid?
 
Then nikukumbushe tu Santos, Boca Jr, Corithians na River Plate huwa hazishiriki Uefa champions League...

Usikurupuke siku nyingine

naona unahesabu super cup/uefa cup, kombe la walioshindwa
 
Soccer Vs Money;
Leo nasoma kuwa Mario Gotze anakaribia kutua Bayern Munich for a fee of £31.5, huu ni zaidi ya upuuzi na ndio sababu zinazofanya soccer likose radha, why?
Moja, pamoja na kipaji chake Gotze,I still think that the fee is ridiculous na pili inabomoa team moja iliyokua inajijenga vizuri kwa miaka kadhaa. Kocha wa Dortmund juzi hapo alisema bundasliga inaelekea kua a monopoly of one team kwa sababu ya spending power ya Bayern.

Angalia wachezaji waliopo Bayern, vipaji vya kutosha na hawapati nafasi ya kucheza na bado wanasaka wengine, huu ni uuaji wa vipaji.
Kingine ni kua Dortmund inaweza ikapotea tena kwa miaka kadhaa kama a top European side na kama mpinzani wa bayern kwenye Bundasliga kama wenye pesa wataendelea kuua team za kawaida zinazojitahidi kujenga team kwa a small budget. Cheki hii, Sahin, Kagawa na sasa Gotze wameshanunuliwa, kesho usishangae Lewandoski, Reus na Hummels nao wakanunuliwa, na bado kocha wao ni malighaafi adimu ulaya, na yeye akinunuliwa na kina Abramovich kutakua na team tena hapo?

Na ukitaka kujua ushenzi wa pesa hawa jamaa hata kuheshimu tu kuwa Dortmund ina match kubwa kesho na Madrid basi wakae kimya kwanza, wala, hawana muda wameshaifanya news, itakua na impact gani kwa gotze mwenyewe na the rest of the squad, yetu macho, mashabiki wa Dortmund wamekasirika na it's unfair kwa kweli but hii ndio modern football!
 
Timu ya ukweli na inakuza wachezaji chipukizi ni FC Barcelona,hata waje na kiasi gani La Masia hatoki mtu kuanzia Messi,Xavi,Iniesta,Busquets,Pique,Puyol,Fabregas,Thiago nk yani kama Guardiola anafia klabuni na mkongojo hadi ukocha au Giggs Man Utd,Buffon Juve,Maldini AC Milan nk naskia fununu pia Casillas anataka kutua FC Barcelona ila sidhani maana ni Real Madrid damu au Madrista kwa lugha nyingine,maana Valdes bado hajasaini mkataba mpya.
 
Hata nao bado wananunua wachezaji kwa bei chafu, Fabregas walimrudisha kwa how much, Ibrahimovic, Alexis Sanchez, Song, Mascherano? Huwezi kuwafananisha na team kama Dortmund ambao almost team yao yote ni product yao.

And still bila mikopo na madeni ya ajabu team kama Barcelona na Madrid, Man Utd zisingeweza kulipa mishahara ya kufuru au kununua wachezaj kwa bei za ajabu.
Kwa club kubwa za ulaya, ni Arsenal na Bayern pekee ambazo zinajiendesha zenyewe kwa faida bila madeni wala mikopo ya ajabu,
Hebu jiulize katika Euro kati ya nchi zenye uchumi mbovu kabisa mpaka zinapigwa tafu na wanachama wengine wa Euro ni Spain, then how come club zake kubwa mbili ndio zenye kiburi sana na pesa?
 
Wapo wengi wamekuzwa,hao kina Song,Masscherano ni kama kuimarisha ulinzi/beki inasumbua na majeruhi ya Puyol,na Xavi nae umri kwenda,Barca kira mwaka wapo chipukizi wanapandishwa,na wengi wanaotamba wametokea La Masia,kina Arteta,Reina nao pia wametokea La Masia tofauti na timu nyinginezo,Zlatan aliletwa lakini ikaonekana Messi anawatosha hakuonekana manufaa yake,fabregas karudi nyumbani sio rahisi kukaa bench kama wengi wenu mlivyokuwa mnafikiria mwanzo,watakaa bench wote ila Catalunya anaheshimiwa
 
Kama la masia inatoa wachezaji wazuri wakutosha why then wanunue wachezaji kwa bei mbaya kama wanakuja tu "kuimarisha" kikosi imara? Na kwanini walipe mishahara ya kufuru? Pia kwa nini wajiingize kwenye madeni makubwaaa kama they can grow their own players?
 
Klopp rues Gotze distraction
April 23, 2013
Borussia Dortmund boss Jurgen Klopp said the announcement that Mario Gotze is to join Bayern Munich this summer could hardly have come at a worse time.

• Hoeness admits tax error

News broke late on Monday night that Germany international Gotze, 20, was to move to the German champions after they agreed to pay his release clause, and the transfer was confirmed by the two clubs on Tuesday morning.

The deal had apparently been in place for around a fortnight and, with Dortmund preparing for a Champions League semi-final with Real Madrid on Wednesday, the timing of the publication threatens to create a significant distraction.

Klopp told a press conference that the leak of the transfer rated "nine out of ten" for bad timing, although he joked: "It could have been worse - it could have been four hours before the game."

He revealed he had heard the news the day after his team's dramatic quarter-final success against Malaga, adding: "I only had one day to celebrate the victory. I have an advantage on most of the others."

Bayern, who take on Barcelona in Tuesday night's Champions League semi-final, had insisted in an official statement that their intention had been to contact Dortmund about the transfer after the Real Madrid match. Klopp said he believes that to be the case.

"Bayern Munich had no interest in tripping us up ahead of the game," he said. "Mario Gotze didn't either, and nor did his agent. So there's not a lot of people left then [who wanted to harm us]."

ZDF indicated that the news had come from a Munich source, and Klopp added: "Of course, the timing was bad, but everyone can guess why it was made public now."

The coach said the only reason Gotze had extended his contract in March 2012 was because of the €37 million release clause, and highlighted the fact such clauses had previously worked in Dortmund's favour.

"About a year ago we triggered the €17 million release clause in Marco Reus' contract. I guess Gladbach supporters weren't too happy about that one either."

He added: "Mario Gotze has not turned against his team-mates or against the club. He owes the club a lot and he knows that, and the club owes him a lot and I know that. It is just that he is a Pep Guardiola favourite. I can't shorten myself by 15cm and start speaking Spanish.

"I believe everyone should be able to digest the news and understand it. I am in charge of the team and I hope the fans will take their time to digest it."

Klopp said the situation would make Dortmund even more determined to progress to the final.

"We will do everything we can to ensure that whoever wanted to distract us will have no success," he said. "It is a now-more-than-ever situation."
 
Kama la masia inatoa wachezaji wazuri wakutosha why then wanunue wachezaji kwa bei mbaya kama wanakuja tu "kuimarisha" kikosi imara? Na kwanini walipe mishahara ya kufuru? Pia kwa nini wajiingize kwenye madeni makubwaaa kama they can grow their own players?
Guardiola alipoingia aliimarisha na kukuza chipukizi kama Pedro na Busquets,na kumrudisha Pique kwanza akaja Fabregas,akawaondoa kina Deco,Gaucho,Yaya,Bronkhorst nk,na ikawa Barca wengi waspain 1 eleven na La Masia kiasi ndio iliyopelekea Spain kubeba world cup na wachezaji wapatao 7 Barcelona na 9 ni zao la La Masia hapo La Masia kulikuwa na Reina,Valdes,Puyol,Pique,Busquets,Fabregas,Xavi,Pedro,Iniesta wakati ukizungumzia waliokuwa Barca ni kumuondoa Reina na Fabregas wakati huo 2010 hapo,ndio walioleta heshima na hadhi Spain na Barcelona kwa ujumla hao La Masia,kwa sasa kwa kweli kocha Barcelona sio mtaalam kama alivyokuwa Guardiola,listi hasa Roura anakuwa kama anakariri kikosi,ila Guardiola tunamkumbuka sana.
 
Mkuu you are very right, swali langu moja tu, tuchukulie mfano wa Dortmund, wao nao wanagrow their own players kama team yenu ila wao hawana madeni na hawana mikopo ya ajabu kama wengine, tanaashum kua team inakopa kupanua kikosi kwa kununua wachezaj au kujenga kama Arsenal na Valencia namengineyo, ila kama hivyo vyote vipo na mna lamasia, then kwa nini team iingie madeni na kuchukua mikopo?
 
Unajua huyu rais wa sasa Sandro Rosell ni kama anataka ushindani na Real Madrid kimafanikio na utajiri,unajua Madrid na Barcelona ni miji miwili sasa imekuwa na ushindani mkubwa sana kiuchumi,kisiasa na kitamaduni,usidhani ni upinzani wa Messi na Ronaldo tu,la hata mchezaji alie sapota wa Real au Barca hawezi kuchezea timu pinzani tofauti na England hiyo hakuna sana,sasa huyu Rosell ni kama anaona haamini chipukizi sana ndio anakuwa anajaribu kununua ila unakuta bado pale la Masia wachezaji wengi wapo eg kuna Thiago,Tello,Cuenca,Bartra,Muniesa,Montoya wote hawa ni kwa 7bu bado wapo chipukizi ndio unakuta wameitwa kina Song,Mascherano kama wazoefu waimarishe beki 7bu Puyol ni majeruhi na umri pia unamtupa mkono,ila La Masia viapji vipo ila Rosell hataki kuchukua muda anataka harakaharaka afikie mafanikio na ushindani wa Real Madrid,sio kama Arsenal inawachukua muda kwa soka la sasa EPL kutegemea chipukizi tofauti wakati ule Fergie alitumia chipukizi wakazoeleka mpk wakapata mafanikio tofauti na sasa timu zinatumia hela,hata BVB ni basi ligi ya German sio ya hela ni Bayern tu ndio inaonekana tajiri,ila ingekuwa ktk ligi ingine eg EPL ingekuwa ngumu kwao kugombania nafasi na timu kama Man city au Chelsea hao BVB
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom