Mpira Umekosa Ladha

Mpira Umekosa Ladha

kweli mpira umekwisha ulaya, robo fainali watu wanafungwa 4, semifainali watu wanafungwa 4 - mambo gani haya!
 
Soccer Vs Money;
Leo nasoma kuwa Mario Gotze anakaribia kutua Bayern Munich for a fee of £31.5, huu ni zaidi ya upuuzi na ndio sababu zinazofanya soccer likose radha, why?
Moja, pamoja na kipaji chake Gotze,I still think that the fee is ridiculous na pili inabomoa team moja iliyokua inajijenga vizuri kwa miaka kadhaa. Kocha wa Dortmund juzi hapo alisema bundasliga inaelekea kua a monopoly of one team kwa sababu ya spending power ya Bayern.

Angalia wachezaji waliopo Bayern, vipaji vya kutosha na hawapati nafasi ya kucheza na bado wanasaka wengine, huu ni uuaji wa vipaji.
Kingine ni kua Dortmund inaweza ikapotea tena kwa miaka kadhaa kama a top European side na kama mpinzani wa bayern kwenye Bundasliga kama wenye pesa wataendelea kuua team za kawaida zinazojitahidi kujenga team kwa a small budget. Cheki hii, Sahin, Kagawa na sasa Gotze wameshanunuliwa, kesho usishangae Lewandoski, Reus na Hummels nao wakanunuliwa, na bado kocha wao ni malighaafi adimu ulaya, na yeye akinunuliwa na kina Abramovich kutakua na team tena hapo?

Na ukitaka kujua ushenzi wa pesa hawa jamaa hata kuheshimu tu kuwa Dortmund ina match kubwa kesho na Madrid basi wakae kimya kwanza, wala, hawana muda wameshaifanya news, itakua na impact gani kwa gotze mwenyewe na the rest of the squad, yetu macho, mashabiki wa Dortmund wamekasirika na it's unfair kwa kweli but hii ndio modern football!

Angalia thamani za Lucas Moura wa PSG ni kituko.
 
mpira ni ushindani, sasa huu ni nini kama sio ukibonde - (milan,madrid,barcelona) kupigwa nne kama umesimama!

Inauma kama ni shabiki wa moja ya hizo team, ila heko kwa B.Dortmund, hawajafika hapo kwa sababu ya pesa na ni fundisho kwa club nyingine kuwa sio lazima ukope au upate muwekezaji wa kiarabu, kimarekani au Mrusi kupata mafanikio kwenye soccer.
 
kweli mpira umekwisha ulaya, robo fainali watu wanafungwa 4, semifainali watu wanafungwa 4 - mambo gani haya!

Mkuu mbona kawaida robo fainali na semi kufungana hayo mabao kwenye UEFA.
 
Inauma kama ni shabiki wa moja ya hizo team, ila heko kwa B.Dortmund, hawajafika hapo kwa sababu ya pesa na ni fundisho kwa club nyingine kuwa sio lazima ukope au upate muwekezaji wa kiarabu, kimarekani au Mrusi kupata mafanikio kwenye soccer.

walibebwa kwenye mechi ya malaga
 
walibebwa kwenye mechi ya malaga

Ila kwa performance ya jana, they have earned their place ila kuanzia next season watakua wasindikizaji, Lewandoski atagombaniwa na vilabu vyenye uroho na tamaa, Marco Reus vilevile, huyo mturkey Gondugan na Hummels nao itakua bahati sana kama watabakia
 
Pep alijitahidi sana kutengeneza mfumo ambao wachezaji wa La Masia ndio pekee waliweza kuumudu ingawa alisahau kutengeneza plan B,hili limedhihirika baadhi ya wakati akikusekana Messi au Iniesta timu imekuwa inayumba sana.

Tatizo lingine wameshindwa kutafuta mabeki wa kati,Puyol/Abidal wamekuwa majeruhi kwa muda mrefu sana then Pique kiwango kimeshuka sana wakati Alba na Alves ni wazuri sana kushambulia lakini wabovu kwenye kuzuia

Barca wamejaribu kusajili wachezaji but wengi wamekuwa flop na wameshindwa ku-adapt mfumo (Sanchez,Song,Mascherano )

Kitu cha mwisho nafikiri timu ilishafikia kwenye peak,Barca walikuwa kwenye form kwa karibia misimu 4 ,ni ngumu sana timu ikawa on top kwa miaka mingi Pep aligundua akaona bora aondoke mapema
 
Mkuu mbona kawaida robo fainali na semi kufungana hayo mabao kwenye UEFA.
Mbona hata huko America ktk Copa America au hata wc qualifying wanafungana mabao 4,5 bila hao Santos walikula 4-0 vs Barcelona,kufungwa kwa Barca ni ajabu maana ni takriban miaka 16 haijafungwa mabao 4-0,mara ya mwisho ni Dynamo Kiev Shevchenko ndio waliwapiga Barcelona 4-0
 
Ulikuwa wapi tangu juzi umetafutwa mpka jukwaa la mapishi...
Kuna mtu akasema kakuona jukwaa la dini unakemea mapepo na maruhani...
Teh teh teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom