MTEMI MIRAMBO
Member
- Feb 21, 2013
- 73
- 38
Teh teh teh!kwa kuwa vibonde wako wa uingereza wametolewa!!Heri miaka ile ya kina Ronaldo, Redondo na Ronaldinho. UCL sasa inaboa! Ni lini tutawaona tena wachezaji wenye viwango vya uhakika?
Teh teh teh!kwa kuwa vibonde wako wa uingereza wametolewa!!Heri miaka ile ya kina Ronaldo, Redondo na Ronaldinho. UCL sasa inaboa! Ni lini tutawaona tena wachezaji wenye viwango vya uhakika?
juve2020 ndio maana wakubwa wa UEFA kwa kuliona hili wanataka ku impose financial rules kwamba vilabu viiendeshe ndani ya uwezo wao,of course matajiri kina Abramovich nao wanakuna vichwa wakitafuta namna ya kufanya usanii (financial engineering) ili wakwepe madhara ya kanuni hii,ngoja tuone maana itaanza kuwa effective 2015 kama sikosei.
Teh teh teh!kwa kuwa vibonde wako wa uingereza wametolewa!!
Alininyima raha kule Turati na kuanika namba yangu ya simu hadi wanaonidai ikawa kero,ila sorry natonesha dondaWe Gutierez hebu ifike kipindi uwe na staha...maana naona unae kila kona ndugu yangu Juve2012
Hahahaha pole no comments,usikose fainali UCL in avdance El Classico tarehe 25 May@Wembley Londonhaya bwana,dah!hii yote Calciopoli ndio imetufikisha hapa.kama Juve ya akina ibra ingebakia serie a nakuambia usingekuwa unanipa pole saa hizi.tuna miaka mitano mbele ya kurudi tulipokuwa.ila uchumi unachangia sana tofauti ya soka leo.sijui italia ikifilisika wengine tutafanyaje!
Huyu Sinisa Mihajlovic alikuwa bingwa wa mipira iliyokufa yeye na Juninho Pernambucarno,Beckham anasubiriWanaitwa SS Lazio Roma...
1. Peruzzi
2. Paolo Negro
3. Sinisa Mihajlovic
4. Fernando Couto
5. Alesandro Nesta
6. Diego Simeone
7. Claudio Lopez
8. Juan Sebastian Veron....
Soka lilikuwa miaka ile Mungu hajaondoka Duniani...
Wanaitwa SS Lazio Roma...
1. Peruzzi
2. Paolo Negro
3. Sinisa Mihajlovic
4. Fernando Couto
5. Alesandro Nesta
6. Diego Simeone
7. Claudio Lopez
8. Juan Sebastian Veron....
Soka lilikuwa miaka ile Mungu hajaondoka Duniani...
Damiano Tommasi uso mzima umejaa Ndevu na nywele zake kalikiti...
anapiga shuti kuanzia Kariakoo mtaa wa Lindi mpaka Mlandizi...
Sio mpira wa nje tu ata huu wetu kwisha..enzi zile ukisikia Tp lindanda Pamba..Paul rwechungula...david mwakalebela..abdallah bori..george masatu..khalfan ngassa..maonwa nkami...hussein masha..fumo felician...john makelele...etc mtangazaji dominic chillambo..rip..njoo mbeya mecco..tukuyu stars...coastal union..african stars...majimaji ya sikinde mbunga..nyota nyekundu etc...yaani TZ tulishindwa kuuza wachezaji kwenye ligi kubwa kipindi kile sijuhi ni lini tutawezakuwauza
Huyu Sinisa Mihajlovic alikuwa bingwa wa mipira iliyokufa yeye na Juninho Pernambucarno,Beckham anasubiri
Katika drama za soka ambazo sitazisahau maishani ni siku ile sami kuffor anapigapiga ngumi chini huku akilia kwa uchungu baada ya babu Ferguson kuwafanyia kitu mbaya bayern ambayo kamwe hawataisahau.dk mbili za nyongeza,sub mbili kaingiza,magoli mawili na ndoo mkononi!nyingine ilikuwa mechi ya deportivo na psg ya akina Okocha.hadi zimebakia dk saba mpira kuisha psg wanaongoza 3-1.depo wakamuingiza sub mmoja anaitwa Walter Pandiani.hadi mpira unaisha deportivo waliondoka na ushindi wa goli 4-3!walipata kona tatu,zote Pandiani aliziunganisha wavuni kwa vichwa!Okocha hakuamini macho yake!
Kilichotokea si kwamba wachezaji hawapo, bali fedha zimeharibu mpira. Nafasi ya timu zisizo na fedha kuonekana ni finyu kwa kuwa soka imekuwa monopolized na wenye fedha kiasi hakuna balance of power.
By the way, Messi juzi kamdhihirishia Gang Chomba kuwa ni yeye ndie anaibeba Barcelona kinyume na mdomo wa Gang wenye roho mbaya kiasi cha kusema bila Xavi na Iniesta Messi hafanyi kitu. Imedhihirika kuwa bila Messi, hakuna wa kuimalizia kazi ya Xavi na Iniesta hata wahangaike vipi.
Messi
Wilshere
Ronaldo
Lucas
Isco
Cazorla
Veranne
Vijana wapo, kilichoharibika mifumo
pierre van hooijdonk mmemuacha wapi?
Huyu Sinisa Mihajlovic alikuwa bingwa wa mipira iliyokufa yeye na Juninho Pernambucarno,Beckham anasubiri