Mpinzani wa Mbowe ajitoa

Duh.. ndio demokrasia gani! Mbowe hajiamini hata kugombea na mgombea bandia wa kupangwa? Yeye yuko confident kugombea na hewa tu! No wonder zzk kutiwa kabali na kupigwa ngwara mapema. alikua tishio dhahiri.
 
mgombea mwenza kwa nafasi ya uwenyekiti chadema taifa atangaza kujitoa,anasema amechezewa rafu.
 
napendekeza afukuzwe ndani ya chadema,kwani ameonesha makucha yake ingali bado mapema sana.
 
Hakuwa mgombea mwenza. Chadema haina hayo ya ugombea webza. Huyu ni mamluki wa ACT-CCM aliingia kichwa kichwa kupina upepo kaona itamcost, kaweka mpira kwapani katoka nduki

kilichobaki sasa ni kufukuzwa ndani ya chama,akiacha atakuja kusumbua kwa hapo baadae
 
Hakuwa mgombea mwenza wa chadema ila ni mgombea wa act aliyetaka kuwa kiongozi wa chadema.
 
Alijaribu kwenda Zanzibar kwa kuogelea kumbe hata kuogelea hawezi, wasaliti hawana nafasi ktk mambo ya maendeleo.

mshen....z,,,i sana yule. Sasa alikua anamaanisha nini nakuanza kujipambanua kwenye vyombo vya habari!au alikua anatafuta kick ya kutokea
 
Watu wengine nimajanga wanatumika kupambana na waliobora zaidi yao mia mara sabini.
 
Watu wengine nimajanga wanatumika kupambana na waliobora zaidi yao mia mara sabini.

niheri asinge jitoa angesubiri afike mwisho,kwa tukio hili na lile la kukisema vibaya chama anapaswa kuchukuliwa taratibu za kinidhamu haraka sana ikibidi
 
niheri asinge jitoa angesubiri afike mwisho,kwa tukio hili na lile la kukisema vibaya chama anapaswa kuchukuliwa taratibu za kinidhamu haraka sana ikibidi


Mpaka hapo kajiondoa utasikia baada ya siku chache anafanya ya akina Shonza, mwampamba nk na si ajabu akajidhilisha ACT.

Huyu jamaa nipunguwani. Huwezi fanyavurugu kwenyechama kilichostawi nakukubalika katika jamii, alafu uende wapi?
 
Mkuu Bramo, utabiri wako umetimia. Au wewe ni miongoni mwa waratibu wa mpango huo nini? Na je kanuni zenu zinasemaje kwa mtu anayejitoa hatua za mwisho
 
Huyo hakuwa na dhamira ya kugombea uongozi bali kumwekea pingamizi mbowe basi! Huyo kinachofuata atahamia nyumba ndogo ya ccm iitwayo act.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…