johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,653
- 143,025
Hebu tujikumbushe kidogo, wakati yeye anawapima samaki pale Bungeni, akiwa ni waziri wa Mifugo, alikuwa amepambanishwa na nani?!Mbunge wa Kisesa mh Luhaga Mpina amependekeza Mawaziri wapatikane kwa njia ya Ushindani badala ya Uteuzi kama ilivyo sasa
Mpina amesema hatua Hiyo itapelekea kupata Mawaziri wenye viwango siyo mizigo
Source: Mwanahalisi Digital
Mpina anaungana na Watanzania kudai Katiba mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.Mpina na katiba mpya ni Kulwa Na doto.........over
Hawa fisiem wakiraruana wenyewe napata raha sana kama niko kifuani kwa mama yo-yoWaendelee tu kuparuana. Maana hakuna namna nyingine.
Yuko sahihi tumeona bimkubwa akimzawadia mkwewe uwaziri kisa anamridhisha binti yakeMbunge wa Kisesa mh Luhaga Mpina amependekeza Mawaziri wapatikane kwa njia ya Ushindani badala ya Uteuzi kama ilivyo sasa
Mpina amesema hatua Hiyo itapelekea kupata Mawaziri wenye viwango siyo mizigo
“Kwanini Serikali isiache utaratibu wa ajira kwa njia ya uteuzi ili kupata watu wenye uwezo ambao hawatiliwi mashaka, ajira ipatikane kwa njia ya ushindani iwe kwa viongozi, watendaji, Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu Wakuu na watendaji wengine Serikalini.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Paschal Katambi akajibu “Kwa sasa Katiba yetu ya Mwaka 1977 inaeleza mfumo wa uendeshaji wa Serikali na inatambua mifumo ya uteuzi na ushindani kulingana na nafasi zinazohitajika.”
je wakati ule alikuwa vizuri sana gorofani?Hebu tujikumbushe kidogo, wakati yeye anawapima samaki pale Bungeni, akiwa ni waziri wa Mifugo, alikuwa amepambanishwa na nani?!