Mpiganaji yupi unamkubali WWE?

Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
2,375
2,802
Tupo watu ambao tunafatilia mieleka ya wwe vp n mpiganaji yupi unamkubali zaid me namkubali adam rose. Je wewe.
 
Danie Bryan,Roman Reign,Sheamus,Big E na Big show

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Namhurumia sana huyo jamaa yako Adam. Angeingia Wwe mapema kuanzia kipindi cha Sumer slam mpaka tulipo sasa kwenye payback sidhani kama angepumua mbele ya akina Roman Reingns, Cm Punk kabla ya kukutana na kiumbe cha ajabu sana na cha kipekee kama Daniel Bryan
 
Japo umetaka mmoja ila mimi nakuorodheshea hawa...
The Rock, Ahmed Johnson, Ken Shemrock pasina kumsahau baba mkwe wa HHH....
 
hamna maigize pale, we wa wp?

ni kweli anachoongea jamaa,mieleka ni scripted si wwe si tna impact zote ni scripted,wanapopigana pale huwa ni kweli ila matokeo huwa yanapangwa kabla yani mshindi huwa keshapangwa tayari,mfano juzi kati ile mechi kati ya brock lesnar na taker yale matokeo ni vince ndo aliyeyapanga alimwambia taker kwamba inabidi alose kwa lesnar na ndo maana jamaa akalose lakini pia ingia blog ya bongo 5 utaiona script moja iliyovuja mtandaoni inayoonyesha events zitavyokuwa halafu uiangalie hiyo show kwenye youtube utaamini nikisemacho
 
Back
Top Bottom