Mpiga Picha Asiye Makini na Kazi Yake..!!!

Mpiga Picha Asiye Makini na Kazi Yake..!!!

nimeshindwa kubaini huyo jamaa alikuwa amefocus nini hasa,enviromental ground au huyo mwanamke? Lakini kama jibu ni mwanamke mbona tena katuangusha!

lENGO LA MPIGA PICHA LILIKUWA HUO UPAJA KWA HIYO SIONI KAMA ALIKOSEA!!!
 
Du nilifikiri picha ya maana kumbe mlitaka kumchungulia dada aliyekuwa anafanya mazoezi pembezoni mwa fence. Uadilifu wa mpiga picha nimeupenda kwani ame concentrate kwenye tukio lililompeleka pale.
 
chopeko, wewe ndio unahusika na hiyo picha tuambie....
 
Last edited by a moderator:
chopeko, wewe ndio unahusika na hiyo picha tuambie....
 
Last edited by a moderator:
Hata hii inatosha bhana, kinafaa kwa matumizi.

attachment.php
 
chopeko, wewe ndio unahusika na hiyo picha tuambie....

No nilimpata tender mpiga picha flani matokeo yake ndo kaniangusha kiasi hicho mkuu. Tayari nimempiga faini kwa kosa la kizembe kama hilo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom