Mpiga debe wa CCM Kupitia Clouds FM Hoi!

Mpiga debe wa CCM Kupitia Clouds FM Hoi!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,902
Reaction score
9,323
Yule kada wa CCM kupitia Radio ya watu kaishiwanguvu baada ya kusoma list ya Ma DC na kukuta lake halipo!!
Matokeo yake jana kwa hasira aliamua kuwachana wana CCM wenzake wakati wa mazungumzo na Vailet Mzindakaya kwenye kipindi cha Jahazi!!
Namshauri avue gamba avae Gwanda!!
 
Mtaje jina lake unamfichaficha nn? au nawe Chukua Chako Mapema[CCM]! Km vp nimwanike mm ?
 
zile suti za mikono mifupi eti uwt, atazivalia wapi?
 
apeleke huko uroho wake wa madaraka kumbe ndo maana alikuwa anajipendekeza
 
Jana kamdondokea kamada Nasari juu ya kauli yake kweli huyu jamaa ni much-know huku akiwa mweupe peee!!
 
mh! Kumbe ndio ilikua njama yake atabaki kupiga domo 2
 
chacha chibonde ame pulia chana antaka uongochi m..ma kumbe pungu chana nli kua chijui mafulenedi..kaz yake ni matangazo ya airtel.
 
Back
Top Bottom