Mpiga debe wa CCM Kupitia Clouds FM Hoi!

Mpiga debe wa CCM Kupitia Clouds FM Hoi!

ninakuja sasa hivi ngoja niitafute profile yake fasta fasta hapa ninaijua..! jamaa alikua na div ........ form four...!
 
ninakuja sasa hivi ngoja niitafute profile yake fasta fasta hapa ninaijua..! jamaa alikua na div ........ form four...!....
 
madaktari wanamsubiri kumchoma sindano ya sumu labda akiugua aende apolo
 
Kumbe ndo maana alikuwa anashadadia CCM kwa nguvu zote zile, aibu kwake, asubiri viti maalum i think watamconsider.
Au wampe ukuu wa kituo cha polisi
 
Back
Top Bottom