Mpesa mastercard inagoma Aliexpress

Mpesa mastercard inagoma Aliexpress

nyumbani kwenu

Senior Member
Joined
Aug 11, 2020
Posts
159
Reaction score
171
Msaada mpesa mastercard inagoma kulipa Aliexpress, WE DO NOT ACCEPT THIS KIND OF CARD, tatizo ni nini maana ilikua inakubali hapo mwanzo.
 
Pole mkuu tuwasubiri waje
Na imani watakusaidia
 
Wamefungiwa online transaction nyingi aswaa za forex, egambling, e.t.c
 
Pole mkuu..mim nimefanya transaction mda sio mrefu kwa hyo hyo voda
 
Pole mkuu..mim nimefanya transaction mda sio mrefu kwa hyo hyo voda

kwa site gan mkuu umefanya,maana mkuu hapo juu nilivyomuelewa ni kwa baadhi ya site,umefanya kwa Aliexpress?
 
sawa mkuu,maana kuna muda nilijaribu kuwapigia simu haikupokelewa,vipi kwa wadau wa airtel mastercard?
Airtel Mastercard inapiga kazi kma kawa. Jarb kufungua account ya PayPal then tumia paypal kulipia. Kwenye paypal unaingia hyo card yako
 
Airtel Mastercard inapiga kazi kma kawa. Jarb kufungua account ya PayPal then tumia paypal kulipia. Kwenye paypal unaingia hyo card yako

mkuu nashukuru sana umenipa ufumbuz mzuri itabid nifungue account ya PayPal
 
mkuu nashukuru sana umenipa ufumbuz mzuri itabid nifungue account ya PayPal
Yeah. Mm natumiaga paypal tu maana ni uhakika haiwezi gomewa kma site inakubal kulipa kwa paypal. Na wana convert kabisa kma website haisupport TZS
 
Back
Top Bottom