Copy
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,072
- 1,382
Hata 1M makato ni hayo hayo mkuu.Halafu kutoa milioni 2 eti ni elfu 8[emoji134][emoji134][emoji134]
Wangepunguza makato kwenye hizi pesa ndogo jamani maana ndiko penye miamala mingi.
CRDB nao ukitoa 1M kwa fahari ni 5000+, etc.
Ni shida sana isee