MPESA: Kutoa Tsh. 10, 000 wanakata Tsh. 1,500

MPESA: Kutoa Tsh. 10, 000 wanakata Tsh. 1,500

Ata kutuma tu utatuma mzigo kwenye basi la mtu free?
Makampuni ya mabasi yanaweza anzisha hiyo payment system,,fedha haziendi physically,hela inawekwa hapa,mtu anachukulia kule,kwa transfer fee ndogo kuzidi hizi za makampuni ya simu
 
Ebaneee nimetoka kupigwa butwaa hapa, yaani kutoka Tsh 10000 Mpesa wanakata 1500 bila huruma! hatari kabisa.
Halafu Mkuu, hii namba yao ya *149*01# imewekwa kwa ajili gani? Maana kuna maluweluwe mengi sana kwenye hii namba ambayo sitaki kuyataja. Tumieni *150*00#
 
Naomba mnisaidie Kama wakala wa mpesa sijapata commission zangu za mwezi wa Saba nikipiga kwa voda wananiambia niongee na wakala mkuu na nikiongea na wakala mkuu anasema amesharequest makao makuu Ila hawajamjibu.
Sasa nifanyaje?
 
Halafu kutoa milioni 2 eti ni elfu 8[emoji134][emoji134][emoji134]
Wangepunguza makato kwenye hizi pesa ndogo jamani maana ndiko penye miamala mingi.
2,000,000 ni pesa ndogo?Jf imejaa matajiri
 
Back
Top Bottom