Kuokoka sawa na hainihusu kuokoka kwake ni yeye na mungu wake,ila tunakutana na wadada wengi hapa mjini wameokoka ila nyuma ya pazia ni balaa.Sasa kama kaokoka na ni ex wako wewe inakuhusu nini?? Huna mambo mengine ya kufanya?? je, umeshindwa kumuuliza kwanini kaokoka au unafikiri ana moyo mgumu ka wa kwako?
We ulitakaje?
Basi na mimi nitafute kanisa la ukweli niokoke niache yote ya kidunia,kilevi,totoz na mengineyoWe ulitakaje?
Wana JF nina swali hivi hii kasi ya kina dada wa leo kuokoka katika mji wetu huu wa Dar ni nini?mimi nilikuwa na mpenzi wangu tumefanya naye yote duniani yaani sio mabaya ila kwa mfano kinywaji na mengineyo ya kidunia,nashangaa kaniambia kaokoka na sikutegemea mtu kama yeye,je ni ni kinawasibu hawa dada zetu kwenda kwenye hizi dini zetu mpya?
Huwezi kusema umeokoka wakati bado uko duniani na shetani yupo.Yesu alikufa msalabani ili aaminiye apate kuokolewa.Hakuna binadamu asiekosa dhambi.
Huwezi kusema umeokoka wakati bado uko duniani na shetani yupo.Yesu alikufa msalabani ili aaminiye apate kuokolewa.Hakuna binadamu asiekosa dhambi.
niko sawa na wewe kabisa kimawazo mkuu.Huwezi kusema umeokoka wakati bado uko duniani na shetani yupo.Yesu alikufa msalabani ili aaminiye apate kuokolewa.Hakuna binadamu asiekosa dhambi.
Heheh ngoja nipite zangu kimya tu...
Hee kuonekana kuna tatizo?alah,aliyeokoka juzi alikuwa ndii kilevi ndio maana topic.Tatizo umekosea ukaongea angalia sasa umeonekana
Eeeh bwana eeh huyo mungu ana kazi basi,ni ya kuyaacha bro.hapa kinacholeta shida ni kule njoo tukumbushane,maana kama ex wako kinakuuma nini akiokoka?