Mpenzi wangu wa zamani ananipa mawazo

Status
Not open for further replies.
Mimi siwezi ila kwako wewe solution ya hali hiyo ni ipi?

Na je mwanaume akigundua kuwa mkewe anachepuka afanyeje?
Kwa hiyo hata wewe unaweza kumchepukia mmeo endapo kama ukijua yeye kachepuka na unahisi ndo solution ya hali hiyo.
 
leo ndio nimekutana na majibu ya kibabe!
good hakika wengi waliojibu naamini hawachepuki kabisa!
Wasichepuke wanaumwa vibofu!! Ni hulka tu za wanaume basi kujiona kuchepuka ni haki yao. Ingawa mleta mada ana makosa ila majibu aliyopewa sio hali halisi. Wanaume wengi wameumia wanahisi mtoa mada anaeza kua mkeweanalilia utamu masafa ya mbali akati yeye anao. Na inawezekana huwa haombwi hahaha. Maisha ya ndoa hatari
 
Mtoa mada amekuwa mkweli!
Mshaurini ,msimtukane.

Wengi wetu tunamaisha ya ajabu sana katika ndoa zetu,,,sema ndoivo hapa Leo kila mtu innocent.
 
Hello waungwana,niite Queen yes nimeolewa with two kids,Sasa bwana nina mpenzi wangu wa zamani kiufupi ni kwamba wote tunatakana tu hatukuwasiliana kama miaka saba hivi juz kati tumeanza mawasiliano tutakutana tutakiss kwenye gari ,nae ameoa na watoto wawili Sasa namuona kama vile hataki kuendelea kuwasiliana na mie ndo namtaka balaa ,nifanyeje?
Umejua kututukanisha...

Ingawa wanaotukana usikute wapo na má ex wao na wana wake zao na watoto
 
Mimi siwezi ila kwako wewe solution ya hali hiyo ni ipi?

Na je mwanaume akigundua kuwa mkewe anachepuka afanyeje?
Akiwa na ushahidi ni vyema akamtaliki na hata mimi naweza kufanya hivyo, endapo kama bado tuna watoto wasiozidi 1, ila wakizidi hapo naweza kumsamehe kwa mara ya kwanza kama hana tabia ya kujirudia na maisha yakaendelea.
 
Kitendo cha kusema unataka kugegeda na kusepa ni dhahiri kwamba unataka kuwakomoa wanawake ila kama shida ingekuwa ni kupata papuchi bila stress basi hata mwanamke mmoja anakutosha kukupa papuchi
Hadi nakufa. Hapo suala sio kukomoana suala ni mie kupata papuchi bila stress.
 
Hello waungwana,niite Queen yes nimeolewa with two kids,Sasa bwana nina mpenzi wangu wa zamani kiufupi ni kwamba wote tunatakana tu hatukuwasiliana kama miaka saba hivi juz kati tumeanza mawasiliano tutakutana tutakiss kwenye gari ,nae ameoa na watoto wawili Sasa namuona kama vile hataki kuendelea kuwasiliana na mie ndo namtaka balaa ,nifanyeje?
jitahidikuhudhuria sehemuza dini dhehebu lako. dmme for councelling . feel free, am ready whenyou are
 
Hello waungwana,niite Queen yes nimeolewa with two kids,Sasa bwana nina mpenzi wangu wa zamani kiufupi ni kwamba wote tunatakana tu hatukuwasiliana kama miaka saba hivi juz kati tumeanza mawasiliano tutakutana tutakiss kwenye gari ,nae ameoa na watoto wawili Sasa namuona kama vile hataki kuendelea kuwasiliana na mie ndo namtaka balaa ,nifanyeje?
Moyo wako watamaa siyo wakupenda
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom