Losser Bad
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 584
- 1,348
Me nina akili timamu naona tu mnavyoyarukia.
Hakuna kitu ni kutamani tu kuonja kwingine tutakuwa tunawasingizia wanaume bure yaan kuzoea kuonja onja tu ndio maana ilifaa wanawake waolewe bikira
Ndiyo hapo sasa kwa sababu hakuolewa bikra anaufananisha utamu wa kitombo cha ex na mume na kutaka tena kukumbushia utamu huo maana mume hamkolezi pamoja na kuwa miaka 7 imekatika.
Una uhakika mme hamridhishi?hakuna kitu ni tamaa tu
Sina uhakika lakini kwanini ahangaike nje ya ndoa yake kama anaridhishwa hadi aje kulalama humu?
Hakuna sehemu kasema haridhishwi ni tamaa tu ya kuchepuka
Labda hilo la kutoridhishwa kaamua kulificha. Akiamua kurudi labda anaweza funguka zaidi sababu kubwa ya kutaka kumvulia picchu ex wake.
Moto kiasi tu mambo yanajipaha ha ha ha ha kiporo hakiitaji moto mwingi
Nikuulize kitu watu huchepuka unadhani watu wao wanaowapenda hawawaridhishi?
Nyingi sana sababu kubwa ni hiyo. Ndiyo maana nikaunga mkono hoja yako ya kuolewa bikra kwa sababu KE anakuwa haujui utamu mwingine zaidi ya mumewe.
Mbona hata humu wengi KE na ME wameshawahi kuandika mara nyingi tu kwamba wanachepuka kwa sababu ndani ya ndoa hawaridhishwi na wenzao
Watu humu hadi walifikiria kuvunja ndoa ili waoe beki tatu kwa sababu hiyo.
Nakuambia watu hutumia sababu ya kutoridhishwa ili wahalalishe kuchepuka nakataaa nimekataa
Yaani unawakilisha idadi kubwa sana ya wamama, wanawataka wanaume na wapo kwenye ndoaHello waungwana,niite Queen yes nimeolewa with two kids,Sasa bwana nina mpenzi wangu wa zamani kiufupi ni kwamba wote tunatakana tu hatukuwasiliana kama miaka saba hivi juz kati tumeanza mawasiliano tutakutana tutakiss kwenye gari ,nae ameoa na watoto wawili Sasa namuona kama vile hataki kuendelea kuwasiliana na mie ndo namtaka balaa ,nifanyeje?
Sijaona ushauri zaidi ya maneno kama mwalim wa nidhamuKwann watu wanapotoa threads zao mnaishia kuwatukana na kuwakashifu, mbona hili jukwaa limekua na maneno machafu tofauti na majukwaa mengine.
Kama huna cha kumshauri ni kher mkaa kimya kuliko kumtolea mapovu jaman kuweni waungwana jiulize HV angekua ndo rafik ako anakufata umpe ushaur mngeishia kumtukana, hembu turejeshen heshima ya Jf ya miaka hiyo majukwaa yalikua full respect na upendo wa hali ya juu sio sasa mmezidisha matus na mizaha mada hazijadiliw mnaishia kumsakama mtoa post
Ninavyo wajua mapovu mtaamishia kwangu, poa mbadilike jaman
Sawa nimekubali mm mwalimu wa nidham, lakin usijifanye watakatifu na kuwatukana wengineSijaona ushauri zaidi ya maneno kama mwalim wa nidhamu
Wenye plan za kuoa nawaonea huruma sana, wanawake wenyewe ndio Hawa
Nataka kuoa kutokana na mrundikano wa makujumu, lakin kwa hali hii inanipa mashaka na kuanza kuwachukia wanawake taratibu.