Mpenzi wangu wa zamani ananipa mawazo

Mpenzi wangu wa zamani ananipa mawazo

Status
Not open for further replies.
Hivi wanaume kujifanya wanawake ndio kwamba mnataka kuolewa au[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Mmhh talk is cheap and things are always easier said than done
Akiwa na ushahidi ni vyema akamtaliki na hata mimi naweza kufanya hivyo, endapo kama bado tuna watoto wasiozidi 1, ila wakizidi hapo naweza kumsamehe kwa mara ya kwanza kama hana tabia ya kujirudia na maisha yakaendelea.
 
Kitendo cha kusema unataka kugegeda na kusepa ni dhahiri kwamba unataka kuwakomoa wanawake ila kama shida ingekuwa ni kupata papuchi bila stress basi hata mwanamke mmoja anakutosha kukupa papuchi
Mwanamke mmoja ni kwa mwanaume asiekuwa na mihela ....kama ndalma ipo huwezi gegeda mwanamke mmoja lazima...yaani warembo wamejaa tele...lazima ubadilishe bwana leo hamu ya msambwanda kesho hamu ya cute face keaho kutwa hamu ya mwenye matiti mazuri....my taste in women changes with my mood.
 
Watu mmetokwa na matusi hatari. Utadhani nyie watakatifu.
Maisha mafupi haya bibie Fanya kitu roho inataka.
 
Hello waungwana,niite Queen yes nimeolewa with two kids,Sasa bwana nina mpenzi wangu wa zamani kiufupi ni kwamba wote tunatakana tu hatukuwasiliana kama miaka saba hivi juz kati tumeanza mawasiliano tutakutana tutakiss kwenye gari ,nae ameoa na watoto wawili Sasa namuona kama vile hataki kuendelea kuwasiliana na mie ndo namtaka balaa ,nifanyeje?
Hapo itabidi umtie hamasa..
 
Ma-ex kanyaga (tehteh just singing )


Kwani baba watoto hampo vizuri mkuu?? Hakuridhishi, haudumii familia n.k

Cc Smart911
 
Wachungaji Wana kazi Sana ndio maana wengine wanageuka kuwa wazinifu tu.
Wanawake kuwa wazinifu Ni hatari kwa ustawi wa ndoa zao kuliko wanaume wazinifu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom